Recent content by mzalendoact

  1. mzalendoact

    Nimeshushiwa amri kumi za kisiasa hapa Tanzania

    Hahahaha . eè232 2ût2eef3t33w223t23tSItý33333ggy3t22
  2. mzalendoact

    Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

    Wewe na nani au kiherehere cha kujumuisha watu usiojua mioyo yao. Mimi hata kiongozi wangu wa chama ukiletwa ushahidi usio na shaka sharti awajibishwe. Who's lowassa? Lowassa my foot! !!
  3. mzalendoact

    Siasa za Tanzania bwana! Zitto Kabwe anapambana kuudhoofisha upinzani! so Amazing!

    Wewe ndo hufai. Tuamini lipi Dr. Slaa kanunuliwa au mbowe kauza chama. Kabla ya kumsema mwenzio anapoteza credibility jiulize wewe ulishawahi kuwa na chembe ya hiyo credibility? Tunamuunga mkono slaa kwa maana ya misingi. Ukombozi unaoletwa kwa gharama ya kuacha misingi ni sawa na ule wa...
  4. mzalendoact

    Mwenye wasifu wa Henry Kilewo atuwekee hapa

    Muulize wanawake live
  5. mzalendoact

    Mwanasheria kama "Lissu" anaposhindwa kuijua hata Katiba ya chama chake…!

    Sasa kama sio kiherehere ni nini? Wewe unamuwekea mtu mshahara hajasaini akikataa hujampa? Alafu kutupiwa virago na kulala kwenye gari dk. Alisema huo ni upuuzi mtu mstaarabu hawezi kuongelea mambo yake binafsi lakini kama na yeye angeamua kusema ya Lissu na mkewe anayo mengi. ...
  6. mzalendoact

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe

    Ukiamua kuwa middle uwe middle na ukiamua kuwa kwa mbowe useme wazi. Kwani mbowe yeye amekanusha lipi kati ya hayo? Acha usukule fungua akili
  7. mzalendoact

    Zitto kurudi Bungeni ni ndoto!

    Acha kubwabwaja sijui umezunguka kigoma ya wapii. Muulize mbowe na lowassa walipouliza mbunge wenu nani watu wa kigoma mjini walijibu nini. Unaropoka tu kujifariji
  8. mzalendoact

    Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Utampuuza wewe mwenyewe. Kwanza hujajua ataongea nini unamlisha maneno na tuhuma nyingi. Hamjajifunza tu kuweka akiba ya maneno? Sijui baadae utaanza kumsafisha au utapotea kabisa. Tulia msubiri aongee.
  9. mzalendoact

    Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo - Agosti 30, 2015

    Acha ukabila na kutafuta mila za watu. Kwa hiyo anaetoka kwenye hayo makabila hapaswi kuongoza? Acha uboya panua fikra kwa maendeleo ya taifa
  10. mzalendoact

    Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo - Agosti 30, 2015

    Wewe unaonaje? Amesalitiwa au amezawadiwa? ?
Back
Top Bottom