Ifike pahala sasa watu wa Bunju A Dar es salaam waanze kupaza sauti kuhusiana na kukatika kwa Umeme uku Bunju A.
Utafikiria tuko Mkoa ama Nchi nyingine. Kila kukicha umeme lazima ukatwe Bunju A. Ukiuliza wanajibu hitilafu!. Hii hitilafu ambayo haina mwisho ni hitilafu gani?
Shida ni nini? Juzi mnasema umeme ni mwingi kupita matumizi shida mgao. Hii kauli haieleweki kukiwa na kukatika kwa umeme kama hivi.
Tutaweza kuuza umeme kwa jirani kweli kama alivyosema Rais Samia
Issue sio kufaulu , Mnabidi muelewe na Afya ya Ubongo wa Watoto. Darasa la nne mtoto bado ni mdogo, angalau wangekuwa wanafanya mara 3 kwa wiki. Angalieni Shule za Singapor ama China . uwone kama watoto wa umri uwo wanasomeshwa masaa 12 shuleni
Mtoto anaitaji kukua na kucheza pia. NYie Sijuwi...
Shule moja inaitwa Center for Education Plus Darasa la 4 miaka 9 wanakalishwa shuleni mpaka saa 11 Jumatatu mpaka Jumamosi wanafika nyumbani saa 1 usiku.
Huyu mtoto anasoma nini?. Ubongo wake umeshakomaa kukaa muda wote huu akisoma?. Sio sawa kabisa.. Angalau wangefanya mara 3 kwa Wiki.
Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.