Recent content by Mzalendo Jr.

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tcu second round imeshatema..

    TCU Wameachia Majibu Ya Waliofanikiwa Kupata Vyuo Kwenye Second Round, Zama Kwenye Profile yako Sasa Hivi, Alafu Nenda View Selection Utaona Na Chuo Ulicho be Selected.. Wajulishe Na Wenzako
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu vyuo 2015/2016

    Wakuu Kwangu Naona Data Base Error... Inamaana Gani..
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu vyuo 2015/2016

    Izo Alamaa Zinakuwa Na Maana Gani Mkuu.. Au Ndo Dalili Za Kukosa Chuo.. Tusaidiane Kudadavua Hizo Alama Jamani.. Mimi Sizielewi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu vyuo 2015/2016

    Zina Maana Gani Hizo AlAMA.. zingine remaining Capacity 0, Nyingine -2, Nyingine -6, Yaani Nashindwa kuelewaa wakuu.. ndo nimekosa chuo au? Naomba Msaada Mtu Wa Kunielezea Nahisi Kuchanganyikiwa
  5. M

    JamiiForums Tanzania st Joseph university

    St. Joseph University Ina colleges nyingi,dar zipo college za Engineering na Education zipo Kibamba,na kuna college mpya ya medicine Boko. Kwa habari ya ufundishaji,wapo vzuri Lecturers wanafundisha vzuri tu tho sio wote wapo "competent" ila wanafundisha sanaaaaaaaaaa Attendance ni mhimu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye Ufahamu St Josepd Dar es Salaam

    Tnx Jcoder
  7. M

    JamiiForums Tanzania 2round selection

    Ivi Wakuu Unaweza Uka Apply 2nd Round Afuu Ukatemwaa Tena Ama?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Eti TCU Wamesema Wanaofanya Second Round Wachague COURSE Tano, Je Ni Kwelii, Tusaidiane Jamani

    Eti TCU Wamesema Wanaofanya Second Round Wachague COURSE Tano, Je Ni Kwelii, Tusaidiane Jamani
  9. M

    JamiiForums Tanzania Second Round Application TCU

    Jee Campus Ya Dar Iko vipi Wadau Kwa Civil Engnrng
  10. M

    JamiiForums Tanzania Second Round Application TCU

    Kwanini Mkuu.. Em Fafanua Zaidii Maana Wengine Ndo Tunataka Tuendee Huko..
  11. M

    JamiiForums Tanzania CAS is now open for 2nd round applications only

    Jamani ni kweli tayari.. kumeshanukaa.. zama kwenye profile ako
Back
Top Bottom