Recent content by myselfimmortal17

  1. myselfimmortal17

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo morogoro,Kilombero (Ifakara) nije Nzega,Kahama,shinyanga,mwanza..idara sekondari kemia/biology 0755854402 Sent using Jamii Forums mobile app
  2. myselfimmortal17

    Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    Pia ukimuona nyoka huyo ni mkosi..yani ukimuona na bahati nzuri asikuue basi ujue mabalaa na mikosi yatakuandama kama kufiwa na mke/mume watoto na ndugu wa karibu... Huyu jamaa ni mshenzi sana
  3. myselfimmortal17

    UNAJIMU: Sayari ya Mercury na Athari zake katika Maisha yetu

    Dini ni kundi la watu waliokubaliana na mungu wao na kutenda yale anayoyataka mungu wao mfano.mungu wa waislam ameruhusu kuoa wake hadi wa nne..mungu wa wasabato haruhusu kabisa kula kambale pia anataka ibada iwe jumamosi..mungu wa wakatoliki anataka wao wasali rozali na wajipake majivu kuelekea...
  4. myselfimmortal17

    UNAJIMU: Sayari ya Mercury na Athari zake katika Maisha yetu

    Nakubaliana na wewe mkuu,hata mawasiliano kwenye ndoa yangu yamekua magumu sana kipindi hiki
  5. myselfimmortal17

    UNAJIMU: Sayari ya Mercury na Athari zake katika Maisha yetu

    Nakubaliana na wewe..kipindi hiki hata mawasiliano kwenye ndoa yangu yamekua ya hovyo sana
Back
Top Bottom