Recent content by myself scenario

  1. myself scenario

    Hili gazeti la Uhuru ni vichekesho, wamefuta neno UKUTA kwenye fulana ya Lissu

    tatizo liko wapi sasa hapo? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. myself scenario

    Maoni: Rais Magufuli ahutubie kama Rais

    Kila mtu ana mapungufu yake..hilo la kutojua kuongea na minor sana uki compare na mengi mazuri anayo yafanya..big up JPM Sent using Jamii Forums mobile app
  3. myself scenario

    Nimeamua kurudi utotoni kwa kufanya haya

    hiyo shikamoo ni muhimu sana lasivyo watakuita Mchafuaji
  4. myself scenario

    Nimeamua kurudi utotoni kwa kufanya haya

    ambanike au anywe supu haha
  5. myself scenario

    Nimeamua kurudi utotoni kwa kufanya haya

    hata mimi nimeliona hilo
  6. myself scenario

    Nimeamua kurudi utotoni kwa kufanya haya

    hutolewa kafara na damu yao kumwagika ndio ishara ya maagano yao wachawi...ila by nature njiwa na mchawi hawapatani kabisa
  7. myself scenario

    Nimeamua kurudi utotoni kwa kufanya haya

    na wivu ndio ishara ya Mapenzi
  8. myself scenario

    Nimeamua kurudi utotoni kwa kufanya haya

    hasa hawa wanaoitwa Wachafuaji mara sijui Wanaume wa Dar
  9. myself scenario

    Nimeamua kurudi utotoni kwa kufanya haya

    mkuu ushirombo walio shamili huko ni wasukuma..je na wewe ni ngosha kama mimi?
  10. myself scenario

    Nimeamua kurudi utotoni kwa kufanya haya

    njiwa huwa hawana mkosi mkuu hata kama akikunyea
  11. myself scenario

    Nimeamua kurudi utotoni kwa kufanya haya

    hakika jamaa amepita niliko pita mimi.. njiwa ni burudani sana
  12. myself scenario

    Nimeamua kurudi utotoni kwa kufanya haya

    hahaha lazima nifanye utafiti kuhusu hili..iam not sure
  13. myself scenario

    Nimeamua kurudi utotoni kwa kufanya haya

    hiyo inaitwa kipenda roho
  14. myself scenario

    Nimeamua kurudi utotoni kwa kufanya haya

    Nawatamani Sana Sungura ila sikubahatika kuwafuga
  15. myself scenario

    Nimeamua kurudi utotoni kwa kufanya haya

    hakika huyu jamaa nae kapitia niliko pitia mimi.. Safi sana
Back
Top Bottom