haiwezekani sifa zote nazopata ni kejeli maana huwa nasifiwa na watoto,vijana wenzangu,wazee na na ni kwa jinsia zote na mm mwenyewe najiona,so mm naona tatizo lipo kiumeni pengine mnahisi mkisifia mademu zenu labda mnajishusha..mtu kama anastahili mpe sifa yake
nikipendeza huwa ananisifia,ila kinachonitatiza kwann hajawahi kunisifia hata siku moja kuwa mm mzuri,na kumbuka sio kwamba nataka sifa ambayo sio yangu,mm kwa uzuri ni mzuri sanaa tu wala sio kidogo..
mmmmmh...mm mbona mzuri sana tu na sijawahi kuambia na boyfriend ila huwa napata hizo sifa kwa watu wangu wa kawaida tu,je kuna tatizo hapo au anaogopa kunisifia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.