Recent content by Myombes

  1. Myombes

    Kusoma elimu ya sheria

    Ahsante sana mkuu, lengo ni kusoma course ya MAFUNZO YA USAIDIZI WA SHERIA NGAZI YA CHETI (NTA LEVEL 4).
  2. Myombes

    Mapambio yakizidi yanakuwa kejeli

    Sisi kule kwetu, tabia hii huwa tunaiita "kujikomba komba" 😁
  3. Myombes

    Kusoma elimu ya sheria

    Wakuu nakuja kwenu kuomba msaada wa jinsi ya kujiunga na chuo cha SHERIA, LAW SCHOOL OF TZ. Mambo ninayohitaji kuyafaamu ni 1. Kama naweza kusoma online 2. Gharama za kujiunga, ada na mahitaji yanayohusishwa. Baadhi ya taarifa nimezipata kupitia tovuti yao lkn nimebaki na maswali hayo. Elimu...
  4. Myombes

    Biashara bora ya kuanzisha.?

    Kwa kweli niwashukuru wote mlioichukua changamoto yangu na kuamua kunisaidia mawazo yenu. Naahidi kurudi hapa na ushuhuda wa mafanikio baada ya miezi michache ya utendaji. Mungu awabariki sana.
  5. Myombes

    Biashara bora ya kuanzisha.?

    Biashara ipi ni nzuri na rahisi kuisimamia kati ya hizi. Bajaji ya abiria, cash point (uwakala), tofari za block, au stationary. Mazingira ya biashara ni mwanza.
Back
Top Bottom