Ninashikwa na uchovu wa kukoroma kabisa nikimaliza kufanya mapenzi,hata kama ndo nmetoka kulala.
yawezekana ikawa nini au ndo naishiwa nguvu za kiume? au ni mtu ninayefanya nae tendo manake kabla ya kuwa na huyu bibie haikuwa hivi, msaada plz.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.