Ninashikwa uchovu mkali sana baada ya kumaliza kufanya mpenzi

myhead

Member
Dec 26, 2016
6
2
Ninashikwa na uchovu wa kukoroma kabisa nikimaliza kufanya mapenzi,hata kama ndo nmetoka kulala.

yawezekana ikawa nini au ndo naishiwa nguvu za kiume? au ni mtu ninayefanya nae tendo manake kabla ya kuwa na huyu bibie haikuwa hivi, msaada plz.
 
- Inawezekana unafanya kazi za kivivu ( kukaa ofisi kwenye kiti cha magurumu na kuzunguka, unakaa kwa massa mengi).
- Mwili hauna mazoezi kabisa.
- Pima cholesterol, check sukari na presure.
- Ulaji mbovu.
- kutopata usingizi wa kutosha.
 
Ninashikwa na uchovu wa kukoroma kabisa nikimaliza kufanya mapenzi,hata kama ndo nmetoka kulala.

yawezekana ikawa nini au ndo naishiwa nguvu za kiume? au ni mtu ninayefanya nae tendo manake kabla ya kuwa na huyu bibie haikuwa hivi, msaada plz.
Acha, sex is not oxygen! You can do without!
 
Back
Top Bottom