Jamani mm ni Kijana mwenyewe umri wa miaka 22 nafanya kazi udereva ambayo naendesha gari ya kigogo mmoja hapa Dar es salaam......Napata mitihani mingi ikiwemo huu ambao unanisumbua kweli kweli Mke wa Boss wangu ananisumbua sana akidai ana nitaka niwe mtu wake wa siri na kasema yupo Tayari kunipa...
kiukwel jamani mm sielew kabixsa mpz wang kila nikimwbmbia tu do analeta visingzio visvyo na sababu akinihaid cku....mara utasikia naumwa tumbo mara utasikia leo rafik yang kaniganda ndo nimekuja nae xo nakuwa smuelew kabixsa nimevumilia nimechoka sijui nifanye je?
jamani mm nimekuwa nikipata shida sana kila nikipita maana madem weamekuwa wa kinifata thana na wengine wamekuwa wakija home daily ...........na mm nina dem wang nina mpenda sana ila wote wanao kuja home niwakali kinoma saa sijui ni fanye nn¿
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.