Recent content by Myebusi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Unyenyekevu kwenye ndoa

    Mwanaume mpende mkeo,na mwanamke mtii mumeo!! Haya yakienda sambamba lazima ndoa iwe na tabasamu kila siku!! Wanawake wengi siku hizi tunapenda kuchukua nafasi ya mume kama kichwa cha nyumba kitu ambacho hakitokaa kiwezekane,haijalishi mke umemzidi kifedha au cheo mumewe lazima kichwa cha...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mliofundishwa unyago njooni mtufundishe hapa

    Tena kuna wengine unakaa kwake kabisaaa,mpaka aone umeelewa vizuri.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa Clouds tv 360 awataka Wasomi wadaiwa HESLB wakauze Ice Cream walipe deni

    Siku hizi watangazaji wenye akili zao ni wachache sana.saivi ukijua kuongea saaaana basi waweza kuwa mtangazaji!! Yule jamaa kawaida yake kuongea kuongea tu ili asitoke kwenye kipindi bila kuongea.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mliofundishwa unyago njooni mtufundishe hapa

    Tafuta kungwi,akuelekeze!!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa kumshinikiza Gavana Ndulu aachie ngazi BOT

    Watu wengine bana!! Si bora ukadeki bahari tu,kama kazi ya kufanya hauna.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Unafikiri ni kauli ipi inatisha kuliko zingine kwenye dala dala?

    Hahahaaaaa!!! Hatari sana.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni "visasi na kulipiza"

    Ukweli utabaki palepale!! Rungu linatumika vibaya sana kwa wananchi. Halafu takwimu za mkuu wa mkoa Kagera anasema ni 5.4 b zilipatikana ikiwa ni michango ya wadau kwaajili ya maafa wakati Uingereza yenyewe peke yake imetoa 6 b sasa pesa nyingine zaenda wapi!!! Mambo ya uchama yakae kwanza...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kama siyo siasa za kijinga, huyu mama alikuwa na kosa gani la kuwekwa ndani?

    Rungu linatumika vibaya sana
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ametisha, amevunja rekodi ambayo waliomtangulia wameshindwa

    VAT mpaka 18% Si mchezo
  10. M

    JamiiForums Tanzania CCM wamwekea Lowassa mazingira mazuri ya kuingia Ikulu!

    Mimi sikukosea kbs mwaka jana. 2020 tiki kubwaaaa...!!!
Back
Top Bottom