Recent content by mycall

  1. mycall

    Jana Marekani imepiga Mtambo wa Nyuklia wa Fordow Leo tena Israel karudia kupiga palepale Fordow. Hii inaonesha Trump ameidanganya dunia!

    Sasa kama IRAN wenyewe wenye Fordow yao wanasema bado iko imara na lengo la Israel na US ni kuiangamiza, unashangaa nini IDF wanaporudia kupiga ?
  2. mycall

    Dkt. Tulia spika wa bunge jitokeze hadharani ukemee jina lako kutumiwa na matapeli

    Mbona hata kwenye ma Bank huwa wanataka pesa kwanza kabla ya kutoa mkopo? Mfano Gharama ya huduma, bima nk. NB , sitetei matapeli lazima watokomezwe.
  3. mycall

    Iran Infinity Jihad

    Basi tushushie ya kwako yenye balance mkuu.
  4. mycall

    Marekani kujenga bandari Gaza ni kuzuga. Hana nia nzuri na Wapalestina

    Au kuishinikiza Hamas iachie mateka
  5. mycall

    Mliopo Morogoro town nini tofauti ya lodge ya elfu 15, 20, na 30

    Lakini Mimi sioni Kama wanachangia tofauti maana yeye mwenyewe katoa ruhusa wamwelekeze maeneo ya kula bata.
  6. mycall

    Israel yazidai Iron Dome zake ilizoziuza kwa US baada ya ilizonazo kuharibiwa na zilizobaki kuzidiwa nguvu

    Kwanini unapendekeza mpaka hayo mataifa yaungane pamoja/yote ? Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  7. mycall

    Israel yaagiza watu waondoke Sderot huku uvamizi ukiwa tayari kuanza muda wowote

    SWORD OF IRON Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  8. mycall

    Mfumo wa kimataifa wa mambo ya kifedha wakosolewa na nchi za Afrika

    Sisi waAfrika tumewekeza mtaji kiasi gani kwenye huo mfumo ? Unao tupa haki ya kudai haki sawa?
  9. mycall

    Msimamo wa Mzee Kikwete kuhusu DP World ni upi?

    Kwa hiyo alivyostaafu na u Tanzania wake uliisha? au wajibu wake kwa Taifa Kama raia uliisha?. Basi Kama ni hivyo ahamia hata Burundi huko atuachie nchi yetu .
  10. mycall

    Uzi wa kupeana shuhuda mbalimbali za Waganga wa Kienyeji

    Lekagashi nang'ho! Hahahaaa
  11. mycall

    Qatar yapiga marufuku mapenzi ya jinsia moja, ulevi na biashara ya ngono wakati wa Kombe la Dunia

    Watarudia tena kuzipa nafasi ya kuandaa mashindano haya nchi zenye mrengo huu kweli !
  12. mycall

    Mchakato wa kuingiza Ukraine ndani ya NATO waanza rasmi

    Hata IRAQ na LIBYA mataifa yalijiunga, napo tutoe credit nadhani
  13. mycall

    Kusomesha watoto sana, ni njia ya kujiongezea upweke huko uzeeni

    Mbona hujamuelewa Kiranga? Yeye kaongelea upweke na faraja, hayo mambo yakunipanga sijui nini.... umeleta wewe na hii inapaswa kuwa maada nyingine. Ukiweza anzisha.
  14. mycall

    Gaza: Khaled Mansour gaidi wa Islamic Jihads Ameuawa Kikatili na Israel Defense Force

    Aliua watu wangapi katika huo ugaidi bandia aliopachikwa kwa malengo maalumu? Kama ingekuwa kweli hakika wasingembakisha
Back
Top Bottom