Recent content by myakinishi

  1. M

    JamiiForums Tanzania KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

    Eleza ulisoma wapi na kupata shahada ya BBA na kuamua kulidanganya bunge? Kama umeweza kulidanganya bunge, je wananchi umewadanganya mambo mangapi? Lete vyeti tuone, na useme ulisomea chuo gani gani hapa nchini, Malagarasi ameeleza ukweli. Ulisoma wapi? Kwa yeyote anayetaka kuthibitisha haya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu NCCR MAGEUZI Mkoa wa Arusha ajiunga CHADEMA

    Mtoa mada umetudanganya kwa kuwa ndani ya nccr hakuna cheo au nafasi ya katibu mkuu wa nccr mkoa wa manyara, hivyo kuhusu mada yako hapa ni mbwembwe tu, pia hiyo idadi ya wananchama 100 ni usanii mtupu kwa kuwa huyo jamaa wa monduli alipogombea udiwani mwaka huu tarehe 2/10/2011 alipata kura 1...
Back
Top Bottom