Recent content by Myahudi wa Musoma

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la pesa kwa Wanafunzi wa elimu ya juu

    Hivi ni kweli hii ni serikali ya wachovu??, imefika wakati nauona kabisa kitu ambacho mh.Lissu alichokuwa akikisema bungeni kiko sawa, mpaka leo ni wiki ya 11 yaani ilitakiwa wiki 8 wanafunzi wa vyuo vikuu hawapapewa pesa ya kujikimu. Hivi inamaana sisi watoto wa wakulima tunaishi vipi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mkutano wa ACT-Wazalendo Simiyu

    Fanya kazi Zitto wala usiogope maneno ya wanafiki kwan mwanzo cku zote mgumu hata nyerere alpata vkwazo, Go ahead
Back
Top Bottom