Natafuta Fursa ya Ajira – Legal Assistant / Company Secretary / Personal Secretary / Legal Consultant
Mimi ni binti aliyehitimu Shahada ya Sheria, naishi morogoro, mchapakazi, mwaminifu, na mwenye maadili ya kazi. Nina hamasa ya kutumia taaluma yangu kusaidia kampuni, taasisi au mtu binafsi...