Recent content by Mwlmgomaji

  1. M

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    nina swali. kama tanzania tunaweza kuprint pesa feki na kuziweka katika system. bas ushaur wangu wenye technlojia hii ya printing tunge waongezea ujuzi na vifaa wawe wana print kwa ajili ya nchi yetu. na sio kwenda kuprint nje ya nchi na kulipa mabilioni ya hela, kuna watu inawalipa ndio. lakini...
  2. M

    Kasi ya Magufuli: Hospitali kuu Ya Taifa yapata mashine mpya ya kisasa ya X-Ray ya kisasa

    yeeh. Hivi magufuli ubongo wake unaufikirio wa asilimia 100% mbona kila ninacho kipata humu nafarijika. Mzee usije ukakosea watanzania tupo nawe labda uamue kutuangusha "hapa uzalendo na kazi tu"
  3. M

    Mwenyekiti shule binafsi: Ada elekezi kwa shule binafsi ni kiini macho

    Watanzania twende na nyakati kuna haja ya kubadilika kiakili, kifikra, mitazamo, na kuangalia mafanikio zaidi ili kuondokana na mifumo kandamizi. Ada ya chuo UDSM ni 2m hadi 3m kwa kozi kwa mwaka. mtoto wa kindergaten ni 2m mpaka 5m per year. tell me kuna usawa katika elimu. au ni ukanjanja...
  4. M

    Kwa wa wafanyabiashara wanaokwepa kodi

    Habari wana JF! Serikali yetu inajitahidi sana tangia ianze imejitahidi na inaendelea kujitahidi kukusanya kodi kutoka vyanzo vyake muhimu kwa kupitia taasisi zake kama TRA n.k licha ya kuwepo na changamoto mbali mbali katika mashirika na taasisi hizi. Ushauri wangu kwa JPM ni aweke mfumo...
  5. M

    Serikali kuzuia shule binafsi kupandisha karo ni njia sahii ya kuboresha elimu?

    lengo la magufuli ni kuisaidia tanzania kufika sehemu fulan katika masuala ya kiuchumi na kielimu. Na hapendi aone matabaka, umaskini uliokithiri, watanzania wakinyanyasika na wenye hela, hapendi wezi, mafisi na mafisadi, wapiga dili, wahujumu uchumi, wanyonyaji, majangili na uzinguzi katika...
  6. M

    Mpaka mwaka 2017 watanzania 99.59% watakuwa CCM

    wewe unadhan ukawa watabweteka kirahis rahis. nao watajipanga kupambana na ndio mabadiliko haya sasa,
  7. M

    Magufuli, Kauli yako kuhusu kodi ulipokutana na wafanya biashara...

    Ha ha ha mimi naona unavyotokwa povu.
  8. M

    Tunapocheka Wanapolia, Tusisahau Tutaacha Kucheka na Kuanza Kulia!

    Magufuli akitengeneza misingi bora ataweza kuongeza na kufufua viwanda kama alivyo ahidi. Suala la kujifunga mikanda na kupunguza matumizi ya serikali kwa kuwalipa wafanyakazi fedha zao kamili za mishahara ni kutaleta uzalendo. Mtanzania mzalendo na mchapa kazi nahisi atafurahia kipindi cha mh...
  9. M

    Wajumbe Bodi zote 50% Wanawake

    wanawake wakiamua kuchapa kazi wana chapa kazi ila wakidanganywa na kushawishika wana weza kuharibu kazi ishu ni mikataba ya wafanyakazi irudiwe upya na kurekebishwa. iwe inafocus watz kufanyakaz na sio kulala tu.
  10. M

    Magufuli ataiweza vita dhidi ya Karimjee Jivanjee Family?

    Kutumbua majipu ni sentesi tata lakini ukimega mega majipu mengine marahis kuyakamua. unaweza kulikamua mwenyewe, au ukapewa support kwenye kulikamua au unaweza ukapewa njia za kukamua majipu ambayo pengine yanaweza kutumbuka na kukuchafua nawe au kukuambukiza wewe. ko huyu jamaa ametoa jipu hlo...
  11. M

    Magufuli ataiweza vita dhidi ya Karimjee Jivanjee Family?

    Amejaribu kutoa tahadhari. Hata naye rais kwenye hotuba yake bungeni alizungumzia masuala haya wakati akiomba ridhaa na support kutoka kwa wabunge na watanzania.
  12. M

    Hivi umoja wa wakuu Shule za Sekondari(TAHOSA)Una mchango gani kwa Sekondari zetu?

    Hili halina tija kwa shule zetu kwanza hata vikao vyao wanaweza kuvifanya kwenye whatsapp wakaelewana. na wakalipana hela ya vocha tu. kuliko kulamba fedha za shule kama laki tano hv na kitu kwajili ya kujikimu na safari tu.
  13. M

    Magufuli ni kama Mwalimu Nyerere

    Wana JF. nimejaribu kutafakari sana lakini ni kapata jibu. Tanzania haihitaji wanasiasa kuikomboa nchi hii. Bali inahitaji watu waliopitia mazingira magumu ambayo kwa namna moja ama nyingine yanafanya mtu ajitambue. Kuna kada za serikali ambazo zinapigwa vita na wadau weng au wanafunzi wengi...
  14. M

    Mh. Rais Pombe Magufuli, tangaza mali zako hadharani

    kila mmoja hapa ana tumia identity feki na kila mmoja ana avatar tofaut na uso wake unajua kwani. hakuna mtanzania aliye kamilika jaman! kila mmoja ni wapga dili na shauri serikali hii kabla ya kuajiliwa mtu sehemu yeyote aende kufundisha msingi au sekondar chaka huko apate uzalendo.
  15. M

    Lowassa, marafiki zako hawakuchangii tena?

    Mwenzako kesha jipanga ana miradi na ma business, siasa ilikuwa nyiongeza katika maisha. na ndoto zake zilikuwa sahihi. lakini mchezo wa rafu nyng za JK na CCM yake. lakini hana mashaka na JPM anavyo tusua kwake. tusua baba.
Back
Top Bottom