Recent content by Mwizukulu wa Buganda

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Simai: Kauli ya 'Yuda Serikalini', watu wazima walinielewa

    Mbunge wa Baraza la Wawakilishi na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu, Simai Mohammed Said akihojiwa na waandishi wa habari baada ya kupitisha bajeti kuu ya Serikali leo Juni 23, amekwepa kumtaja Yuda msaliti aliyeko Serikali, na kusema kuwa watu wazima tayari walishaelewa tafsiri yake Pia soma...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Serikali 2026/2027 yapita kwa asilimia 97.96

    Bajeti ya Serikali 2026/2027 yapita kwa kishindo Matokeo ya kura ya bajeti kuu ya serikali: Idadi ya Wabunge waliokuwepo bungeni: 393 Idadi ya Wabunge ambao hawakuwepo bungeni: 8 Kura za Ndio: 385 Kura za Hapana: 8 Kura za Sipigi Kura: Sifuri Bajeti ya serikali imepitishwa kwa kura 385...
  3. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Martha Karua denied entry into Uganda ahead of Besigye, Lutale court appearance

    Martha Karua denied entry into Uganda, declared persona non grata
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Chenge: Serikali ibane matumizi kwenye ununuzi wa magari ya kifahari na safari za nje, pesa zielekezwe kwenye miradi ya maendeleo

    Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Simiyu, Tina Chenge ameiomba Serikali kupunguza matumizi ili pesa zinazopatikana zisaidie kwenye miradi ya maendeleo ''Eneo la matumizi ya serikali, niombe serikali ibane matumizi, na hasa kwenye ununuzi wa magari ya kifahari, lakini na safari za nje. Tuwatumie...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Katambi: Serikali imetenga Milioni 100 kuwalipa watoa taarifa za uhalifu nchini

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Serikali imetenga Shilingi milioni 100 kwa ajili ya kuwazawadia wananchi watakaotoa taarifa sahihi zitakazosaidia kubaini na kuzuia vitendo vya uvunjifu wa amani nchini. Amesema hatua hiyo inalenga kuimarisha ushirikiano kati ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Katambi: Wanaotumia majukwaa ya kisiasa kuchonganisha wananchi, kuwajaza chuki, kuchochea na kuhamasisha kufanya uhalifu hawatabaki salama

    Katambi Awaonya Wahalifu na Maandamano haramu ya Tarehe 7 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amewaasa watu wanaotoa kauli za kichochezi katika mitandao ya kijamii, majukwaa ya kisiasa na maeneo mbalimbali ambapo kauli hizo za kibaguzi na kichochezi zinahusu Muungano wa Jamhuri...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Tuna msiba usiokuwa na mwili wa marehemu. Mnachelewesha maridhiano kwa kuendekeza uwongo na propaganda

    MIMI ni tunda la Azimio la Arusha. Chini ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kupitia Azimio hilo, tulijenga taifa kwa sera ya Ujamaa na Kujitegemea. Ujamaa ulishindwa, lakini katika kujitegemea tulipiga hatua kubwa. Natetea hoja yangu kama ifuatavyo; Kwanza, tulijitegemea kifikra na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuongeza ukomo wa mihula au masharti ya urais Afrika: Ukomavu wa Kisiasa au kung'ang'ania madaraka? Tanzania tuige?

    Tabia ya baadhi ya nchi za Afrika kubadili katiba ili kuongeza muda wa marais wanaokaribia kumaliza mihula yao imeendelea kujitokeza mara kwa mara. Je, hii ni ishara ya ukomavu wa kisiasa na kulinda maendeleo, au ni njia ya watawala kuendelea kushikilia madaraka? Hili jambo lina uzito mkubwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ureno kwanza, rekodi binafsi baadaye: Wakati wa Ronaldo kutundika daruga umefika

    Anavunja rekodi zote za ufungaji bora, kumbuka Messi kamzidi goal mbili tu
  10. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Jolly Mutesi Moves to Sue Bebe Cool Over Online Fraud Claims

    Ssebo, Bebe Cool arekye kugira eigaitsi ahari Jolly Mutesi, amurekye akore omurimo gwe.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ureno kwanza, rekodi binafsi baadaye: Wakati wa Ronaldo kutundika daruga umefika

    Mbape atavunja rekodi msimu huu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ureno kwanza, rekodi binafsi baadaye: Wakati wa Ronaldo kutundika daruga umefika

    Tunaoumia ni mashabiki wa Ureno. Ronaldo anapaswa kukubali kwamba huenda asiifikie rekodi anayoiwinda, na wakati umefika kuipa nafasi kizazi kipya kuibeba timu. Ureno ni kubwa kuliko mchezaji mmoja; mafanikio ya timu yanapaswa kuwa muhimu zaidi kuliko rekodi za mtu binafsi. Ikiwa bado anaipenda...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Amoni Masinga (CHADEMA): Polisi walivamia nyumba yangu na kuwaacha wanangu na vilema

    Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CHADEMA Wilaya ya Mbeya Vijijini, Amoni Masinga, amesimulia jinsi askari walivyovamia nyumbani kwake na kuacha watoto wake wawili wakiwa na vilema kutokana na kipigo. "Polisi mlikuja kwangu mkan'goa geti, mkawachomoa watoto wangu na kuwapiga kikatili...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere: CHADEMA wanajipanga kwa jaribio lingine la mapinduzi baada ya kufeli Oktoba 29

    Yericko Nyerere amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kuwa macho na viashiria vya maandamano anayodai yanaweza kuwa na mpango wa kuhatarisha amani. Kupitia mtandao wa X, Yericko amedai kuwa maandamano hayo si ya kawaida ya kikatiba na kuhusisha harakati hizo na mpango wa kisiasa unaoweza...
Back
Top Bottom