Recent content by Mwitore

  1. M

    Chato: Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, atembelea kaburi la Hayati Magufuli

    Nimekuelewa sana Kalamu, Lakini kwa jinsi ninavyokuheshimu kwa michango yako humu, utakuwa hujatufanyia jambo jema kama wewe binafsi utshindwa kuanzisha hii hoja, Nadhani ni jambo muhimu sana, kuna vitu ambacho Watanzania wa kawaida wanavihitaji kutoka kwa mtu kama Magufuli, hata uwaambie nini...
  2. M

    Sijaelewa kuhusu Dkt. Mwigulu kukopa Trilioni 5 ili kulipia Hati Fungani za serikali zilizoiva

    Hata fixed deposit unaweza kulipwa kila mwezi interest, sio mpaka muda ule ufike, Muda ukifika ndio unaweza kuchukua pesa yako yote, Na wakati mwingine unaweza kutoa pesa yako yote hata ya muda kwisha, Hapo nyuma kidogo niliweka mil 20 kama kutest zako , nilichukua interest kwa miezi sita na...
  3. M

    Ijue siri na sababu za malalamiko ya Teuzi kwa hoja za Udini katika Awamu hii ya Sita

    Nadhani kwa uelewa wangu, suala la dini kwenye uteuzi lisitugawe, ila, nasema tena ila, tuwe waangalifu sana kwa ndugu zetu hawa , nasema ndugu zetu hawa’ sababu ya kurudia hivyo ni kama wanakitu fulani hivi mioyoni kwao kuhusu hiki wanachokifanya, Nimesema hapo ndugu zetu hawa kwa kurudia...
  4. M

    Kujaa kwa Bwawa la Mwl. Nyerere ni aibu kubwa kwa mafisadi

    Na mwonekano wake ndio bwawa la Mwalimu litakavyokuwa, Yaani ni copy ya bwawa letu, Na nilisema bwawa letu linajengwa na Wachina , Ndio main contractor , wale Wamisri ni wasimamizi.
  5. M

    Kujaa kwa Bwawa la Mwl. Nyerere ni aibu kubwa kwa mafisadi

    Eagypt, wasimamaizi, Mjengaji MCHINA(Chinese) SINO HYDRO
  6. M

    Kujaa kwa Bwawa la Mwl. Nyerere ni aibu kubwa kwa mafisadi

    Sio picha halisi hiyo!! Uongo
  7. M

    Uongozi wa Awamu ya Tano, Shule Kubwa Kwetu

    Wewe mtu, Mbona unatuchosha, Baba sina umejaa lawama kama Huns akili, Umemsema sana Marehemu mpaka itakuwa kero, Kwanza tambua hao unaowazungumzia Mala wameuawa, Mara kutekwa, una kuwa unawazidishia matumizi wala huwasaidii chochote, Magufuli unamtupia lawama kwa chili zako binafsi, na...
  8. M

    Ofisi za Maprofesa na Madaktari wa UDSM zinathibitisha namna Taifa lilivyofeli. Je, hata majumbani kwao wanaishi kwa dhiki hivi?

    Inasikitisha sana nchi hii, Nimekuwa nikipita kwenye geti kuu la kuingilia Mbuga ya Wanyama Nyerere upande wa Mloka, kusema kweli ni aibu, Sielewi hata hao watalii huwa wanatufikilia nini sisi Watanzania, Reception ni hovyo, hakuna hata computer, wafanyakazi wana lugha mbaya na za kukera...
  9. M

    Mbezi mwisho ingejengwa hivi, Tanroad wangepungukiwa na nini?

    Kwa nini ile stand ya daladala kama wamewashindwa machinga, ( kitu ambacho hata mimi naona wana haki ya kukaa hapo) basi ni bora kituo cha daladala kivunjwe ijengwe stand hapo hapo lakini ghorofani , soko liwe chini mtu akishuka hapo anapitia sokoni mojakwa moja. Au kituo kiwe chini soko liwepo...
  10. M

    Ajali ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Austria ichunguzwe

    Da jamaa anachekeshs jinsi alivyo panic, kumbe haelewi kitu, Sidhani kama atarudi tena
  11. M

    Dkt. Slaa amshutumu Magufuli kwamba zuio la mikutano ya hadhara lilikuwa batili na haramu

    Hata mimi nimeshangaa kwa nini watu hawajadili hoja wanamjadili mtoa hoja, Lakini nimeshangaa zaidi kwa mtu kama kalamu naye kuingia kwenye mkumbo huo, Kama hivi ndio Watanzania tulivyo, basi inasikitisha sana. Dr Slaa kwa mambo aliyozungumza, itoker bahati mbaya aone majibu au mwitikio wa...
  12. M

    Watanzania ni watu wa maneno maneno, kupiga kelele na kulialia tuu, Tukija kwenye Vitendo ni sifuri, 0, zero, nil, hamna kitu!. Je Tutabadilika?

    Mimi binafsi, hayo mapungufu ya katiba iliyopo bado sijaambiwa na siyajui, Ninachojua ni ukiukaji wa katiba iliyopo, Kiufupi wanaotakiwa kufuata katiba hawaifuati, au wanavunja sheria za katiba makusudi, Kwa nini tusianze kwanza na kupiga kelele kuhusu uvunjwaji wa katiba ya sasa, kuliko...
  13. M

    Watanzania ni watu wa maneno maneno, kupiga kelele na kulialia tuu, Tukija kwenye Vitendo ni sifuri, 0, zero, nil, hamna kitu!. Je Tutabadilika?

    Mimi ni mmojawapo ambaye kupitia humu jamii forum, ndio nasoma vilio vingi kuhusu katiba, Lakini ambacho nasoma ni kuwa tunataka katiba mmpya, au kitu fulani kimekuwa hivi sababu ya hii katiba,. Lakini wakati mwengine nasikia hata katiba hihii ambayo tunayo inavunjwa au kukiukwa na hakuna...
  14. M

    Diaspora wafungua kesi ya Kikatiba kupinga sheria inayozuia Uraia Pacha

    Ahsante sana Bagamoyo, Mimi nimesoma hii hukumu yote nimemaliza, Tatizo kubwa kwetu Watanzania, mtu yupo tayari kuchangia, kubisha, lakini ukimpa ushahidi kama huu ili ajiridhishe, anaona ni upotezaji wa muda, Ahsante sana tena
  15. M

    Diaspora wa Kenya wafanya makubwa Marekani. Sisi Diaspora Wetu wanafanya nini cha kuonekana huko walipo?

    Mengine tunafanana kweli, lakini wenzetu kiingereza kinawa boost sana ,sisi tunajificha ficha tukiwa na wageni wanaozungumza English, Hata huko Qatari wamechukuliwa kama wafanyakazi wa muda kwa mshahara Mdogo kwa kazi ili iwe rahisi kuwasiliana na wageni, Nilikuwa nchi nyingine ya huko Arabuni...
Back
Top Bottom