Recent content by mwitendeone

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbinu chafu za maadui wa Rais Magufuli

    Tunapojadili watu kutekwa ebu jaribuni kurejea tukio LA utekwaji wa Dr ulimbika . na alitaja wahusika hadi namna za simu za wahusika lakini kilichotokea hadi Leo hatujuhi .kwani waliyapeleka kimya kwa halo hiyo mambo haya yanapaswa yawekwe wazi ili yasijirudie
  2. M

    JamiiForums Tanzania Insane Anahitaji Huruma, Kusaidiwa. Sio Kulaumiwa, Kulaaniwa na Kususwa! He Needs Help, Tumsaidieje?

    Pascal mayalah watu wengine hawakuelewi umekuwa ukitumia fasihi sana kwenye post zako .lakini mwisho wewe upo upande wa kutaka haki itendeke
  3. M

    JamiiForums Tanzania Makonda Alienda Clouds Kufuatilia Documentary Yake ya Mwaka Mmoja Madarakani

    Ndg wewe ni mjinga wa wanjinga kufata documentary usiku si angepiga tu simu na akaletewa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Gwajima, MwanaHALISI should be dragged to court for slandering RC Dar

    Fedha za kuwalipa mawakili wa serikali kwa ajili ya mtu binafsi hazipo la msingi aweke vyeti hadharani kisha afungue kesi ya kumdhalilisha
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere pia alikuwa na vyeti vyenye majina tofauti

    Mleta maada hajitambui wala hajielewi kubadilisha majina si tatizo kabisa katika nchi hii Shida ni kutumia majina ya MTU mwingine kama amebasilisha majina si ajitokeze hadharani na kuweka vyeti vyake sawa . Mimi ninarafiki yangu wa karibu tulisoma naye hadi Chuo cha ualimu alitumia jina...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    Weka vyeti kunashida gani
  7. M

    JamiiForums Tanzania Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    Hapa jambo ni dogo sana na laweza chukua sekunde 30 kumaliza maneno yaliyodumu muda wa wiki 4 . ni kuonyesha vyeti hadharani tunarudi kwenye mjadala wa watuhumiwa wa madawa ya kulevya Mh. Makonda ni ushauri wa bure weka vyeti hadharani unaongoza jiji la wasomi na maprofesa wa kutosha ebu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu mahusiano ya Hawa watu na Sophia Simba

    Ni maamuzi sahihi kwa wakati sahihi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Historia ya Paul Makonda iwasisimue Vijana

    Jambo ni dogo vyeti tu vitolewe hadharani mjadala utafungwa tena asubuhi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia

    Tumekupata kijana amesoma koromije
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni heri niapishwe kuwa Rais kipindi hiki.(take note).

    Jamani mbona mnamatusi kwa Deo kisandu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Yanayotokea Gambia yamenifanya nikumbuke Tuzo ya Jecha kwa kurudia uchaguzi Zanzibar

    Mmesahu Kenya ya kibaki alifanya nini?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Habibu Mchange aikacha ACT-wazalendo na kuachana na siasa

    Ni uhuru wake binafsi
  14. M

    JamiiForums Tanzania Katika hili la Wamachinga Mheshimiwa Rais utanisamehe sijazoea unafiki!

    Haya tuone Kama wakuu hawa watafanya kazi tena
Back
Top Bottom