Ndungu wana jf habari za wakati nina sm ina matatizo kidogo nilikuwa naomba kuna uwezekano kuiflash kwenye pc yangu mnielekeze niiflash au lazima niende kwa fundi aniflashie msaaada tafadhari
Habari za wakati wana jf kuna ndungu zangu walifanya application nacte through CAS na application dedline ilikuwa ni tr 13 august baada ya dedline kila mmoja alipo ingia kwenye profile yake alikuwa system is runnig for selection be patient ila baada ya siku mbili walipoigia kwenye profile zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.