Ww UVCCM tulia upigwe spana, hakuna watu majizi kama hao wanaoubiri uzalendo. Tulia hivyo hivyo dawa ikuingie ndo kwanza mama kaanza kusafisha madudu yenu.
Hakuna mtu asietambua umuhimu wa kodi katika kuleta maendeleo ya nchi. Wala mama hajazuia ukusanyaji wa kodi. Isipokuwa kodi za dhulma ndo...
Habarini wakuu,
Naomba kufahamulishwa wale waliokuwa wanasema bila Kuwepo Mh. Rais magufuli nchi haiendi wanapatikana upande gani?.
Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu mkubwa.
Kitu ambacho CCM inatakiwa kukifahamu ni kwamba:-
Wanaopiga kura wengi ni wale walioumizwa na serikali ya awamu ya tano yakiwemo makundi tofauti tofauti.
Kama vile:-
:-Wafanya biashara
:- Watumishi wauma
:- Wanafunzi walihitimu elimu
ngazi tofauti tofauti na wakakosa kuajiriwa.
Ambao...
Miongoni mwa wanafunzi wa kwanza wa chuo hicho ni
Jaji sinde walioba
Prof banyikwa ( marehemu)
Prof. William rugumani ( UDSM recture)
Na wengine nimewasahau
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.