Tutakujulisha na mengine ya miaka ya sabini ili nayo uongezee maana hayo ndo yamekua story kila kukicha hatua zinazoendelezwa na Rais ni za kuunga mkono hayo yatafikiwa tu....tatizo wengi wanataka aanze na hayo tu hasa wa upande fulani hivi,,,,,,,,,,,Kick ya JPM imeanzia alipoaanzia hivyo...