Nimeamini kweli wakristo wengi ni fuata upepo tu hawajui kabisa chimbuko la sherehe ya Dec25(krismas) wala hawajui chimbuko la Easter.Kwa vile tu jamaa wa Babel aliwaweza kwa kuchukua sherehe zake na kuzibatiza majina ya matukio makubwa ya kikristo.Na bahati mbaya akawambia wasisome biblia,basi...
Ukisema kila dini inaabudu kwa staili yake ni udanganyifu wa shetani, msingi wa ibada yako ni nini? Wenye staili zao ni Islam, Hindu n. k.hawa wana misahafu yao wenyewe. Lakini madhehebu yaliyochakachua biblia na kufanya marekebisho, biblia inasema ni mabinti wa Yule kahaba wa ufunuo 17:1-9
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.