Recent content by MWISHO WA SHAMBA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuadimika kwa bia mkoani Mbeya

    Hapa kidogo kuna kamwanga nakapata,sasa ndio watulazimishe tunywe tubia twakike eti castle lite na flyng fish ndo angalau zinapatikana
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuadimika kwa bia mkoani Mbeya

    Zote..kwanza bingwa ndogo miniliziona maramoja tu mpaka nikashangaa sijui zilikuwa kwenye majaribio izo ndo kabisa sikumbuki mara yamwisho kuziona sokoni ilikuwa lini
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuadimika kwa bia mkoani Mbeya

    Tena vibaya mno..hapo mwanzo akati huu msoto unaanza tulikuwa namachimbo yakuvumbua vipaji lkn kwasasa hadi hizo chimbo nazo zinatafuta chimbo nakote ngoma ngumu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuadimika kwa bia mkoani Mbeya

    Kila mmoja nabia aliyozoea mkuu kuna mwingine ukilazikisha bora bia utamka na heng'over yahatar au kichwa kiume sana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuadimika kwa bia mkoani Mbeya

    Tumeshajizoelea bia zetu pendwa mkuu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuadimika kwa bia mkoani Mbeya

    Tena hiyo BINGWA imekuwa kama bangi utaisaka kwa tochi nawala hutaipata, mtu akikuona nayo anafanya kukushangaa nalazima akuulize umeipata wapi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuadimika kwa bia mkoani Mbeya

    Wengine tunavibanda umiza mzee,ukizingatia kwa ukanda huu ,huu nimsimu wamavuno watu wanapesa mfukoni kiu inabana kila wakati, kwakweli serikali inakosa mapato hivi hivi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuadimika kwa bia mkoani Mbeya

    Angalau Hizi CASTRE LITE na FYINGFISH zinapatikana kiasi lkn sasa hizi nizawadada zaidi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuadimika kwa bia mkoani Mbeya

    Habari wakuu! Ni karibu mwezi wa pili sasa mfululizo, upatikanaji wa bia mkoani Mbeya umekuwa changamoto kubwa. Bia kama Bingwa, Safari, na Kilimanjaro zinapatikana kwa nadra sana. Wenzetu wa TBL Mbeya, tafadhali mtujulishe shida ni nini? Je, wenzetu wa mikoa mingine mnakumbana na changamoto...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je ngazi ya certificate chuoni kuna muda ina expire.?

    Asante sana mkuu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je ngazi ya certificate chuoni kuna muda ina expire.?

    Nashukuru sana mkuu,leo nilipata wenge nikaingia mtandaoni nikachukua namba za baadhi yavyuo ili niwaulize hili swali langu lkn katika vyuo vitatu, viwili hawajapokea simu,kimoja namba haipatikan,ndo nikapata wazo lakuuliza humu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je ngazi ya certificate chuoni kuna muda ina expire.?

    Bado nasubiri majibu yenu wakuu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je ngazi ya certificate chuoni kuna muda ina expire.?

    Habar wakuu! Naomba kuuliza je latesay ulimaliza certificate miaka mi5 au 6 iliyopita nasasa unataka kuendelea na diploma je inawezekana kuendelea kupitia hiyo certificate yako au nilazima uanze upya ngazi ya cheti?? Kuna mtu ameniambia chet chako kikizidi miaka mitatu huwez kuendelea nacho...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je, huu usukani naweza kuurekebisha ukakaa sawa?

    Ok asante kwa ushauri
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je, huu usukani naweza kuurekebisha ukakaa sawa?

    ninunue gari nyingine kwasababu ya usukani tu kupotezamuonekano au ulikuwa na sababu ngingine ikiyokupelekea kunishauri hivyo?
Back
Top Bottom