ndugu yangu kwanza nikupongeze kwa kumpamba David.lkn jua musoma vijijini ni kubwa na ina wengi, kuna mdada/mama ambaye hizo data keshazitafuta tangu 2010, anajua jimbo na tayari ana mbinu nyingi za jinsi ya kuwakomboa/ kuwaelimisha jinsi ya kupambana na maisha.ACHENI KUDANGANYA WATU HAKUNA...
hapana ndugu yangu, fanya utafiti kwanza kwa ulisemalo hapa JF.Mtoto wa nyerere rubani anaitwa Endrea/enduru yupo ni mzima mpaka sasa hakufa anaishi hapa dar es salaam.Makongoro ni mtalaam wa kutengua mabomu na mengineyo ni askari mzuri pia, John naye alikuwa askari alistaafu.hao ndiyo wanae...
jibu hoja, kwani wamiliki wa Jamhuri ni wawili na wote waandishi, hakuna agenda ya 2015 kama unavyoficha huyo BOSI.Ukweli lazima yasemwe.twasubiri Mengi zaidi.hongera Wanajamhuri mnakuja vizuri.angaza kila kitu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.