Recent content by Mwinyi_tza

  1. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi kuhusu kinga ya Ukimwi iitwayo PEP

    Nitamfikishia Ushauri huu Mkuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi kuhusu kinga ya Ukimwi iitwayo PEP

    Seriously huu ndio Ukweli
  3. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi kuhusu kinga ya Ukimwi iitwayo PEP

    Kwa Sababu alivyokuja kuomba Ushauri nilimbana anieleze ukweli wa mazingira yaliyokuwepo ili niweze kumshauri cha Kufanya
  4. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi kuhusu kinga ya Ukimwi iitwayo PEP

    No Siyo mimi Mkuu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi kuhusu kinga ya Ukimwi iitwayo PEP

    Wakuu Salama! Kuna Jamaa yangu ameanza Doze ya PEP Siku Moja iliyopita baada ya Kujihisi yupo hatarini. Lakini hakufanya Ngono ya Kumuingilia Huyo mdada, Isipokuwa alifanya Oral Sex tu, ambayo haikuchukua hata Dakika 2 Baada ya Kujihisi katika hali hiyo alienda Kwenye Vituo viwili tofauti vya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Tanzania ya Viwanda

    Umeme wa Uhakika ambao Utachochea Uwekezaji kwenye viwanda na kuongeza Fursa za Ajira kwa Watanzania.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nukuu za Dkt Tito Mwinuka-Mkurugenzi Mtendaji TANESCO

    Nukuu za Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Dkt. Tito Mwinuka. “Kwanza kabisa huwa nasema hata nikikutana na wafanyakazi wenzangu kwamba ningependa kuona TANESCO ambayo inafanya kazi ufanisi na ndiko tunakokwenda", Dkt. Tito Mwinuka- Mkurugenzi Mtendaji TANESCO. "Ndoto yangu ni kuona TANESCO...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nukuu za Dkt Medard Kalemani Leo

    "Mradi wa Maporomoko ya Mto Rufiji kukamilika Aprili 12, 2020, litakuwa na uwezo wa kujaza maji mita za ujazo Bilioni 35.2" Dkt. Medard Kalemani, Waziri Nishati - Januari 13, 2019. "Tumekuja kwenye Mradi huu kukagua miundombinu wezeshi kama umeme, maji, barabara na nyumba, kabla ya kumkabidhi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wife ana Rubella ipi tiba sahihi?

    Daktari wake amesema Vimelea vitaisha vyenyewe kwa sababu huo ugonjwa haina tiba Zaidi ya chanjo. Alitushauri turudi kwake baada ya miezi miwili atampina tena ili kuona kama Vimelea vimepungua ama kuisha Kabisa. Kwa sasa alimpatia vidonge vya kuongeza vitamin ambavyo ni alpha E.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wife ana Rubella ipi tiba sahihi?

    Wakuu Salama ! Mke wangu amegundulika na Vimelea vya Ugonjwa wa Rubella, vinavyo sababisha kila akishika Ujauzito unatoka, hatuja bahatika kupata mtoto. Chonde Msaada tutani.. Je atumie tiba gani? Au tufanye nini ili apone hayo Maradhi?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lakanusha hii Kitu

    Hakuna Mabadiliko yoyote wakuu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Miscarriage / Kuharibu Ujauzito

    Alipewa vidonge vya kusafisha na akapiga ultra sound yuko vzr hakuna Uchafu mwingine uliosalia
  13. M

    JamiiForums Tanzania Miscarriage / Kuharibu Ujauzito

    Asante sana...ninazingatia ushauri wako
  14. M

    JamiiForums Tanzania Miscarriage / Kuharibu Ujauzito

    Miezi miwili na nusu mkuu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Miscarriage / Kuharibu Ujauzito

    Asante sana kwa Ushauri / maoni yako
Back
Top Bottom