Recent content by mwina97

  1. M

    JamiiForums Tanzania Pombe ndio chanzo kikuu cha Waislam na Wasabato kula kitimoto

    Elewa context Ukisoma Zaidi, it was not about food Wayahudi waliwaona na hawakutakiwa kujichanganya na watu wengine wakiwaona najisi hapa anaambiwa akamsaidie Cornelius na asiite watu wa mataifa najisi Maana wote tunakombolewa na damu ya Yesu “And there came a voice to him, Rise, Peter; kill...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Pombe ndio chanzo kikuu cha Waislam na Wasabato kula kitimoto

    Torati siyo sheria za kiyahudi ni vitabu vitano vya mwanzo wa biblia alivypandika Musa Yesu mwenyewe alivyokuwa dunia ali refer kwe hayo maandiko. Agano jipya halikufuta maandiko ua agono la kale vilivyo futwa ni ordinances zilizo katika wakolosai 2: ndivyo Yesu aliondoa alivyokuja akafa Kafala...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Pombe ndio chanzo kikuu cha Waislam na Wasabato kula kitimoto

    It is biblical siyo mambo ya wasabato “Whatsoever parteth the hoof, and is clovenfooted, and cheweth the cud, among the beasts, that shall ye eat. Nevertheless these shall ye not eat of them that chew the cud, or of them that divide the hoof: as the camel, because he cheweth the cud, but...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Pombe ndio chanzo kikuu cha Waislam na Wasabato kula kitimoto

    “Know ye not that the unrighteous shall not inherit the kingdom of God? Be not deceived: neither fornicators, nor idolaters, nor adulterers, nor effeminate, nor abusers of themselves with mankind, nor thieves, nor covetous, nor drunkards, nor revilers, nor extortioners, shall inherit the kingdom...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Pombe ndio chanzo kikuu cha Waislam na Wasabato kula kitimoto

    Wasabato hata silaha hatutakiwi kubeba ukijiunga jeshi unatakiwa Uwe non combat like medic siyo Kazi ya kutoa watu uhai
  6. M

    JamiiForums Tanzania Pombe ndio chanzo kikuu cha Waislam na Wasabato kula kitimoto

    Wapo waliorudi nyuma
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Heche na ToneTone yavunja rekodi Mbeya

    Wakuu wa .mikoa wakichaguliwa itakuwa vizuri na kwenue katiba kuwe na alocation of fund za maendeleo kwa kila mkoa na mkuu wa mkoa awajibike kwa wananchi. Tuwe pia na district attorneys wa kichaguliwa ndio wawe waendesha mashtaka amba hawateuliwi ila wachaguliwe na wanachi wa sehemu husika hivyo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimekata mawasiliano na mama yangu kwa sababu ya maneno ya kejeli ya mara kwa mara

    Siyo kweli, “Children, obey your parents in the Lord: for this is right. Honour thy father and mother; which is the first commandment with promise; that it may be well with thee, and thou mayest live long on the earth. And, ye fathers, provoke not your children to wrath: but bring them up in the...
  9. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza subwoofers, soundbars, home theater, speakers kwa bei nafuu

    Mnauza bose700,na 900 soundbar modular na subwoofer 700 modular na sorround speakers zake?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kujazwa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha ni raha ya ajabu!

    “Then Peter said unto them, Repent, and be baptized every one of you in the name of Jesus Christ for the remission of sins, and ye shall receive the gift of the Holy Ghost. For the promise is unto you, and to your children, and to all that are afar off, even as many as the Lord our God shall...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kujazwa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha ni raha ya ajabu!

    Kupiga kelele kama umepagawa na actually huwa mmepagawa na kuanza kuongea uongo alabashahshaaaaka ili mnaowaibia pesa waone mnawasiliana na roho is not biblical na sito evidence ya roho mtakatifu. “And he said, Go forth, and stand upon the mount before the LORD. And, behold, the LORD passed by...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kujazwa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha ni raha ya ajabu!

    Wanafunzi wa yesu na early christian hawakuwa wananena kwa lugha kama nyie mnaopagawa na mapepo God is not the God of confusion Sasa tofauti yenu na wale wanaoshikwa na mapepo yale makelele na fujo ni nini?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kujazwa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha ni raha ya ajabu!

    Danganya wasio jua Huwa mmepagawa na mapepo Kunena kwa lugha lazima ueleweke
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wenye kujua hii biashara ya LSSC

    Hawajalipa watu almost for the past 3 weeks Subiri kwanza
Back
Top Bottom