Recent content by Mwillah Zumba

  1. M

    Picha: Nassari akiwa na Lema kituo kikuu cha Polisi, Arusha

    ndo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia
  2. M

    Arusha: Maandamano ya Kanisa Katoliki yasindikizwa na JWTZ

    Acha basi kukurupuka, uwe unafanya uchunguzi kabla haujaandika kitu, hili lilikua ni adhimisho la kupokea msalaba kutoka parokia ya kujenge, na polisi(traffic) ndo walikua wanasimamia kuongoza watu+ magari.Hao wanajeshi kazi yao ilikua tarumbeta tu kunogesha. na tukio lilikua tarehe 7/4/2013
  3. M

    Mulongo: Sijawahi kutuma ujumbe wa vitisho kwa Lema

    ila nadhan umeona na kugundua kua yy ndo alituforce kumzomea, haiwezekani tumetulizwa muda wote huo yeye anafika na kusifia suti, na pili ujue siyo tukio la kwanza, alitegemea tuendelee kumuona Mungu mtu wakati watu tumechoka na vifo + mibako ya kila wakati isiyotatuliwa.
  4. M

    LEMA anatafuta umaarufu wa kisiasa kwa faida ya nani?!

    hao watalii wanalisaidia nini taifa? zaidi ya kuzidi kuwanufaisha wauza meno ya tembo na wasafirisha wanyama
  5. M

    Deal ya cheti cha NECTA

    kweli ww ni mvivu wa kufikiri
  6. M

    Wanawake bwana??!

    hiyo ni dalili ya kutojiamini, angekua anajiamini angeongea na mumewe na si wewe
  7. M

    Precision air washusha flight fare

    sisi binadamu c watu wa kushukuru, hivi mlitaka sisi wenye kipato duni tuziskie ndege angani tu, lazima tuishukuru fast jet kwa changamoto waliyoleta kwenye usafiri wa anga ili na sisi wa hali ya chini tupande hizo ndege
Back
Top Bottom