Recent content by mwijagematonyanga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Waliotabiri kuwa Chadema kufa kabla ya 2015

    Kifo cha CHADEMA usiiite utabili bali sema ni utaratibu uliopangwa na kundi la watu kukiua chama hiki. Ninachotaka uamini ni kwamba CHADEMA haitakufa na watu wanapswa kuomba ili hilo lisitokee na kama likitokea watu wakazibwa pumzi hawatakubali na huo unaweza kuwa mwanzo wa mabadiliko...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ukipewa Fursa ya Kumshauri Mh Zitto Kipindi Hiki Utamwambia Nini?

    Duniani hakuna makosa, kila litokealo ni shule juu ya kitu Fulani. Mh Zitto afanye yafuatayo, asikilize zaidi kuliko kusema kwa sasa kwani kipindi hiki ndo muafaka kujitathimini katika jamii, pili asithubutu kuhama chama kwani huo ndo utakuwa mwisho wake kisiasa, tatu aanze kujifunza...
Back
Top Bottom