Recent content by mwija

  1. mwija

    Sakata la Zumaridi na namna alivyokamatwa na polisi ni kichefuchefu, sheria haikuzingatiwa

    Sijaona kosa kwa polisi kwa maana Kama ingekuwa sehemu ya tukio ndio ungethibisha hayo uyasemauo acha polisi wafanye kazi yao
  2. mwija

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kahama nyakato,mbulu na Mwendakulima mmekata umeme mida hii na ratiba haionyeshi kukata Leo mnafeli wapi nyinyi
  3. mwija

    ITV wameumbuka kuhusu ndege iliyoleta watalii Tanzania?

    Shida nu kudanga umma hakuna asiyeoenda watalii kuja nchini lakini kwanini watumie propaganda za vidudu wanaisi wote ni watoto wakudanganywa wawe matured bana Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mwija

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    T PESA wamenipiga hela yangu nilinunua bando wakatuma meseji mtandao umesumbua kujaribu tena wananiambia sina salio dah nikachoka kupiga huduma kwa wateja simu dakika 30 hakuna wa kuipokea .wanakatisha tamaa sana Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mwija

    Mkakati wa kuing'oa C.W.T

    Taasisi tena? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mwija

    Mkakati wa kuing'oa C.W.T

    Kitendo cha kushusa gawio kwenye matawi na kufika asilimia 9 hapo hamtapata kura na mjue chama kinajengwa na waliochini sasa mkipewa nafasi mnawasahau waliowapa kura. Sikilizeni ongezeni gawio la matawi kutoka asilimia 15 hadi 30 na hisa za walimu ziwekwe wazi kwa wamiliki woteee mhache uchumia...
  7. mwija

    Mkakati wa kuing'oa C.W.T

    Chagueni uyu jamaa ni mchapa kazi na mtetea haki Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mwija

    Mkakati wa kuing'oa C.W.T

    Naunga mkono hoja hasa kwenye suala la beki aise Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mwija

    Je, ni kweli mshahara wa Mwezi April, 2020 umeshatoka?

    Ndio boss wa wafanyakazi wote inchini Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mwija

    Je, ni kweli mshahara wa Mwezi April, 2020 umeshatoka?

    Noble crown Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mwija

    Je, ni kweli mshahara wa Mwezi April, 2020 umeshatoka?

    Njia nzuri ni kusajili simu yako na bank ili kupata taarifa ya acc yako kwa kila miamala. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mwija

    Ufunuo kuhusu ugonjwa wa COVID19 Tanzania

    Soma hii ugonjwa ni wa kitambo sana Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mwija

    Natafuta mji mtulivu wa kwenda kupumzika kwa mwezi mmoja

    Chato # hakuna matata Sent using Jamii Forums mobile app
  14. mwija

    Mnaonunua vitu alibaba na aliexpress je, hali imerejea kama awali?

    Mizigo tunaagiza na inafika kama kawa. #hakuna matata Sent using Jamii Forums mobile app
  15. mwija

    Kahama mji wa hovyo kwa miundombinu, Serikali haijali

    Nguvu ya pesa na kiburi cha wenye mamlaka ya ustawi wa mji ndo chanzo cha mambo ya ovyo hapo, inshu kubwa ni upigaji unafika maskini na kuondoka tajiri. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom