Licha ya wananchi wa mji wa kahama kujiletea maendeleo ikiwemo kujenga nyumba bora kwenye viwanja vilivyopimwa, lakini serikali imeshindwa kusimamia kikamilifu ujenzi wa barabara hata za matope na mitalo ya maji. Maeneo yanayopata shida sana ni mitaa ya Majengo, Sokora na Bariadi.
Hivi leo vyua imenyesha jioni hii basi wananchi wa maeneo haya wamzeungukwa na maji kama vile wako katikati ya mto jangwani DSM. Swali la kujiuliza nikwanini wasichonge barabara na kushindilia hata kwa udongo na kuchonga mitalo ili maji yafuate mkondo wake wakati wakisubiri pesa za kuimalisha barabara?
Nimetembe nchi nzima nadhani hii ni Halmashauri ya mji amabyo miundo mbinu ya mitalo na barabra sehemu korofi wamekuwa hawajali ana hawaoni tatizo wanapoona wananchi wanteseka kama vile wajenga kwenye maeneo hatalishi.
Je wananchi waifanyie nini serikali ili ione huruma ya kuimalisha miundo mbinua ya barabra na mitalo hasi mitaa ya Sokola, Majengo na Dodoma?