Recent content by mwidaddy

  1. mwidaddy

    Yuko wapi Thomas Ulimwengu? mbona ghafla hivyo

    Dah! Umekumbusha kitu.
  2. mwidaddy

    Ushawahi Kupokea muujiza gani ukaamini kuwa Mungu yupo?

    Shida ya kiranga na wafuasi wake wanataka kulinganisha spiritual world na material world kitu ambacho hakiwezekani abadani. Spiritual world iko dominated na faith, na faith zote zimeelekezwa kwa Mungu kama Mfalme wa watu wamuaminio. Imani ndiyo silaha ya binadamu wote haijalishi unaamini...
  3. mwidaddy

    Ushawahi Kupokea muujiza gani ukaamini kuwa Mungu yupo?

    kiranga anaweza kuwa ni freemason yule, 😂 mtu gani haamini Mungu licha ya vyote vilivyomo duniani 😂
  4. mwidaddy

    Inasikitisha na kuumiza kweli: Hapa ndo tulipofika Tanzania, Taifa na Wajinga na Ujinga

    Haya sawa mchungaji tufanyie maombi hii nchi ilipofikia ni kama jehanamu. 😂🙏🏾
  5. mwidaddy

    Inasikitisha na kuumiza kweli: Hapa ndo tulipofika Tanzania, Taifa na Wajinga na Ujinga

    Njaa haiishi kwa kuwa na uhakika wa kula siku moja, tumbo halijawahi kujaa, kusupport makosa kwaajili ya kujipatia kipato cha kutatua shida za msimu na kubaki na majanga ya muda mrefu huo ni ukichaa, be rational, tusihimizane kufanya upumbavu unaoangamiza nchi, hatuma misimamo wala mitazamo...
  6. mwidaddy

    Inasikitisha na kuumiza kweli: Hapa ndo tulipofika Tanzania, Taifa na Wajinga na Ujinga

    Sawa uko sawa ila simama katika upande wa kuelimisha kujenga na kutatua changamoto katika jamii yako, si kila mwenye smartphone na anayetype humu amesoma mzee, usiwe sehemu ya waharibifu wa jamii na nchi kwa ujumla. Kemea ujinga kwa lengo kujenga taifa.
  7. mwidaddy

    Inasikitisha na kuumiza kweli: Hapa ndo tulipofika Tanzania, Taifa na Wajinga na Ujinga

    Mkuu umesema vyema sana, sasa wakuu wa kimataifa watoaji wa misaada wanaanza kujitoa kwenye kuzisaidia nchi zinazoendelea, badala ya kuanza kufikiria namna ya kujitegemea tusitokomee kwenye depression watu wanaanza kutizama udini, hili bara la Afrika sijui lina matatizo gani, yani watu hawajali...
  8. mwidaddy

    Inasikitisha na kuumiza kweli: Hapa ndo tulipofika Tanzania, Taifa na Wajinga na Ujinga

    Hauko sawa, sijatetea mtu wala kiongozi kulingana na dini yake na madhaifu yake, ninachojaribu kukifanya ni kukuelewesha wewe na wengine wenye mitizamo ya kulinganisha viongozi, uongozi, na udini au ukabila wao kuwa hicho kitu si sawa na hakifai kukishikilia, kama raisi fulani amefanya makosa...
  9. mwidaddy

    Inasikitisha na kuumiza kweli: Hapa ndo tulipofika Tanzania, Taifa na Wajinga na Ujinga

    Sijakuelewa unazungumzia nini mkuu em jaribu kuwa clear and certainity.
  10. mwidaddy

    Inasikitisha na kuumiza kweli: Hapa ndo tulipofika Tanzania, Taifa na Wajinga na Ujinga

    Ndiyo ujue hakuna uzalendo wala utaifa kwa sasa katika nchi na sisi kama wananchi tukisikia jambo kama hilo na kulikubali basi itakuwa ndiyo mwenendo wa nchi ila hilo si jambo sahihi na si jambo zuri kuidharau katiba ya nchi, roho imeniuma sana nimetamani hadi kulia nilivyosoma andiko lako.
  11. mwidaddy

    Inasikitisha na kuumiza kweli: Hapa ndo tulipofika Tanzania, Taifa na Wajinga na Ujinga

    Anayeongoza nchi ni mtu anaezungukwa na watu wanaoiunda taasisi ya ofisi ya Raisi na wala sio taasisi ya dini fulani, laiti kama ingekuwa dola imeshikwa na kikundi cha watu wenye imani ya dini ya kiislamu alafu ndiyo yatokee haya its okay kulaumu kwa mtindo huo ila kwenye ofisi ya raisi kama...
  12. mwidaddy

    Inasikitisha na kuumiza kweli: Hapa ndo tulipofika Tanzania, Taifa na Wajinga na Ujinga

    Acheni suala la udini, uongozi na udini haviingiliani kulingana na katiba ya nchi, rais kama taasisi haina dini. Habari ya udini ni ubaguzi wa mtu binafsi tu.
  13. mwidaddy

    Inasikitisha na kuumiza kweli: Hapa ndo tulipofika Tanzania, Taifa na Wajinga na Ujinga

    Nyerere alifanya kwa ubora wake na kwa taaluma kubwa sana kwa wakati kama ule nchi ilivyokuwa na namna alivyokuwa anaidhibiti na kuisimamia. Tatizo ni kwamba hiki kizazi kinachoitawala nchi kwa sasa hakijui kinafanya nini, kinajenga nini na kinaipeleka wapi nchi. Hakuna haja ya kumlaumu Hayati...
  14. mwidaddy

    Inasikitisha na kuumiza kweli: Hapa ndo tulipofika Tanzania, Taifa na Wajinga na Ujinga

    Uko sawa ila kwa namna unavyotafsiri mambo na kutasimamia, napata mashaka kwa wanafunzi unaowafunza, napata mashaka na diplomasia yako, nahisi we ni mwanasarakasi wa kimataifa kama ulivyojitambulisha. Na kuhusu uadhiri huenda unafundisha tuition ya chuo kikuu labda. Ila unareflect taswira ya...
  15. mwidaddy

    Inasikitisha na kuumiza kweli: Hapa ndo tulipofika Tanzania, Taifa na Wajinga na Ujinga

    Umasikini wa wananchi hautolani na wao wenyewe tena kwenye taifa kama hili la Tamzania kila mtu anatamani kuwa na maisha mazuri awe na economic stability. Kinachowafanya watu wawe masikini ni mifumo mibovu ya uongozi na usimamizi wa mifumo ya nchi na rasilimali zake, just imagine hao masikini...
Back
Top Bottom