Hakuna asiyekuwa mjinga dunia hii. Nauliza ili unitoe huo ujinga kwenye hili ili nibaki na ujinga wa vitu vingine.
Wengine (akiwemo Kijazi) tuliambiwa ni shida ya upumuaji(hii nilishahisi ni COVID-19) ila kwa JPM hatukuambiwa, ndio maana nilitaka unieleweshe juu ya kauli yako.
Hata ukinijibu...
Kama hili lilitokea basi ni dhahiri kwamba wale watu wanaodai kupata taarifa kutoka ndani(serikalini) walizitengeneza tu baada ya kudokezwa kwamba hayo magari yameonekana mtaani.
Nipo hapa kujifunza.....nielimisheni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.