Recent content by MWIBAPORI

  1. M

    Waziri Bashe tusaidie, ASA wametudhulumu fedha wakulima

    Halafu kumbuka hii ni taasisi ya serikali na sio private sector. Kama serikali ikifanya hivi je itakuwa na uwezo wa kuiwajibisha private sector ?
  2. M

    Waziri Bashe tusaidie, ASA wametudhulumu fedha wakulima

    Pia kuna kitu kinaitwa time value for money kwa maana uwezo wa kununu kitu kwa shilingi moja mwaka jana unapungua kila siku. Tukubali ASA mmewaangusha wakulima na mnatakiwa muwajibike.
  3. M

    Waziri Bashe tusaidie, ASA wametudhulumu fedha wakulima

    Je serikali inayohamasisha secta binafsi inaweza ikaruhusu haya mambo kwenye taasisi yake kudhulumu walipa kodi wake
  4. M

    Waziri Bashe tusaidie, ASA wametudhulumu fedha wakulima

    Nini kimetokea ASA mbona wanakatisha tamaa wakulima
  5. M

    Waziri Bashe tusaidie, ASA wametudhulumu fedha wakulima

    Mkuu una uhakika na unachosema hivi ASA wamefikia hapo
  6. M

    Waziri January Makamba tusaidie kupata fidia zetu TANESCO

    Hii inatisha kuona DED na mkuu wa wilay wakitengeneza timu ya kuwadhulumu wananchi kama siyo kuwapora. Hawa ni majambazi na wezi pamoja na hao waliotajwa hapo hawatakiwi kuwa kkwenye ofisi za umma
  7. M

    Waziri January Makamba tusaidie kupata fidia zetu TANESCO

    Swala la Makuyuni limeonyesha ni jinsi majority ya bviongozi walivyo wabadhilifu na jinsi ambavyo wako kwa ajili ya matumbo yao na si kuwasaidia wanchi
  8. M

    Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

    Wanaouza ramani always ni mabenkers. sasa wanafurahia nini kula hela za damu
  9. M

    Hivi nini kilimpata Rais Samia akatoka Kenya na barakoa?

    All in all huyu mama anatumia sana akili za kuambiwa badala ya au kuchanganya na za kwake au za kwake
  10. M

    Wafanyabiashara waliotaka kuuwana kwa Bastola Arusha waitwa mahakama Kuu

    MONABAN laani kutoka kwa mama yake na madeni ya kwaya mbalimbali jijini Arusha zinammaliza bila yeye kujua
  11. M

    DED monduli na tanesco wamedhulumu taasisi za dini fidia ya ardhi

    Mh. Rais sikia kilio chetu watu wa Makuyuni mkoani Arusha maana tunadhulumiwa na mtu uliyemweka atuhudumie
  12. M

    DED monduli na tanesco wamedhulumu taasisi za dini fidia ya ardhi

    Hii imetokea katika kijiji cha Makuyuni mkoani Arusha tangu 2017 hadi leo ambapo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Monduli amedhulumu taasisi za dini ya kiislam na kikristo na baadhi ya wananchi fidia ya ardhi yao baada ya TANESCO kupitisha umeme wa kilovolti 400 katika maeneo yao. Makuyuni ni...
  13. M

    DED Monduli na TANESCO wamedhulumu taasisi za dini fidia ya ardhi

    MHESHIMIWA TUSAIDIE KWENYE HILI JANGA
  14. M

    DED Monduli na TANESCO wamedhulumu taasisi za dini fidia ya ardhi

    Hii imetokea katia kijiji cha Makuyuni tangu 2017 hadi leo ambapo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Monduli amedhulumu taasisi za dini ya kiislam na kikristo na baadhi ya wananchi fidia ya ardhi yao baada ya TANESCO kupitisha umeme wa kilovolti 400 katika maeneo yao. Makuyuni ni kijiji lakini ili...
  15. M

    Rais Samia tusaidie; DED Monduli na RC wa Arusha wametupora fidia ya ardhi Makuyuni

    Mama anatakiwa aanze upya kwani wengi wa ma DED, DC na ma RC ni wachumia tumbo na wamechangia pakubwa kuwadhulumu wananchi wanaowaongoza na kufifisha imani ya wananchi kwa serikali yao.
Back
Top Bottom