Recent content by Mwesy

  1. M

    JamiiForums Tanzania Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

    Huku kweli ni kurushana roho.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Judge Warioba ateuliwa kuwa Mwenyekiti Tume ya Katiba

    Hivi Kutoka upinzani ni Baregu na Mvungi tu?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lema: Ikulu imenivua ubunge ; Ikulu yamjibu vikali

    Hakika ukurupukaji huu unatia sana mashaka. Siku zao zinahesabika, kuna siku watatueleza vizuri. hatutojali kuwa wamezeeka wala nini, watajibu tu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye chadema yaipindua ccm arumeru

    Ni kweli watanzania tunapaswaa kutoka kwenye mkakati wa kulalamika na kuanza kuchukua hatua. tatizo watz wa Mkoa wa Dar es Salaam wanatuangusha katika juhudi hizi. Hawaonyeshi dalili za mapambazuko, sijui ni kwasababu Magogoni ipo mkoani kwao au tatizo ninini hasa?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hainess na Machamuli Updates!

    Mungu awajalie afya. Wwmekuwa kama mashahidi wa Uganda.
Back
Top Bottom