Recent content by mwesige itebuka

  1. mwesige itebuka

    JamiiForums Tanzania Kwa watu wale wa mji mashuhuri wa tanzania unajuwa kitu gani hiyo?

    Togwa mkuu
  2. mwesige itebuka

    JamiiForums Tanzania Bongo movies...

    Vivuli vya camera, camera man na boom mic kuonekana mara nyengine ata sauti za watu pembeni husikika mfano chumbani wapo wawili tu ila utasikia geuka mbele ili sura yako ionekane vizuri
  3. mwesige itebuka

    JamiiForums Tanzania Upi uhalali wa watoto wa kike kusema eti wamechezewa pale wanapoachwa na wapenzi wao??

    Kumbukeni pia kuna baadhi ya wanawake mnaweza kuwa kweli mmependana na mwanaume akawa amejipanga kabisa ata kwa kumiliki moja kwa moja alafu inatokea yule mwanamke anatamani mwanaume mwengine na kuanza kukufanyia visa then anakupiga buti la mbavu na kuelekea kwengine kwa mfano huo nani...
  4. mwesige itebuka

    JamiiForums Tanzania Duuu...! Enzi hizo...bora turudi zamani...!

    Enzi za kuvaa viatu vya utanikoma saa nane jua likiwaka ama DH(dingi ana huwezo)
  5. mwesige itebuka

    JamiiForums Tanzania Movie fanatics,mnawakumbuka:then & now

    Uyo wa the baby z day out kakua zana na anold
Back
Top Bottom