Recent content by Mwesiga frolian

  1. Mwesiga frolian

    JamiiForums Tanzania SoC03 Zijue taratibu za kisheria katika kudai malipo kutoka kwenye kampuni ya bima baada ya kumpoteza ndugu kwenye ajali

    Procedure ni zile zile ila tofauti ni kwenye nyaraka utakazozipeleka bima. Hususan zile zinazohusiana na Fomu za usimamizi wa mirathi maana hapa hii procedure kwenye scenario uliyoisema hakuna kifo. Pia hakutakuwepo na maombi ya kusimamia mirathi kwakuwa mhanga bado yupo hai. Nazani umenielewa...
  2. Mwesiga frolian

    JamiiForums Tanzania SoC03 Zijue taratibu za kisheria katika kudai malipo kutoka kwenye kampuni ya bima baada ya kumpoteza ndugu kwenye ajali

    Shukran sana brother 🙏! Title ya andiko lako ni ipi?
  3. Mwesiga frolian

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mabadiliko ya haraka yanahitajika katika sheria ya ndoa

    Mkuu ndoa haiepukiki tukiwa na sheria nzuri basi kila mmoja atapata haki yake kwenye ndoa tofauti na ilivyo sasa... Naomba unipigie kura shukran 🙏
  4. Mwesiga frolian

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mabadiliko ya haraka yanahitajika katika sheria ya ndoa

    Kuna baadhi ya vifungu katika sheria ya ndoa haviko sawa mkuu. Inatakiwa kuviboresha kuna namna vinaleta ukakasi katika utoaji wa haki.... Naomba unipigie kura....
  5. Mwesiga frolian

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mabadiliko ya haraka yanahitajika katika sheria ya ndoa

    Ahsante sana! Ngoja tufikishe ujumbe kwa umma tuone kama changes zinaweza kufanyika katika sheria ya ndoa
  6. Mwesiga frolian

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mabadiliko ya haraka yanahitajika katika sheria ya ndoa

    Maboresho yakifanyika katika hili sheria changamoto zitapungua za ndoa.
  7. Mwesiga frolian

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mabadiliko ya haraka yanahitajika katika sheria ya ndoa

    Shukran sana 🙏 Hakimi's law tutatumia kwenye division of matrimonial properties Incase kuna divorce 😁
  8. Mwesiga frolian

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mabadiliko ya haraka yanahitajika katika sheria ya ndoa

    UTANGULIZI Sheria ya ndoa Sura ya 29 ya mwaka 1971 iliyofanyiwa marejeo mwaka 2019 ni sheria kuu inayosimamia masuala ya ndoa nchini Tanzania. Sheria hii inakabiliwa na mapungufu mengi na changamoto nyingi miongoni mwa hizo changamoto ni pamoja na utata wa kimajukumu kati ya mme na mke katika...
  9. Mwesiga frolian

    JamiiForums Tanzania SoC03 Zijue taratibu za kisheria katika kudai malipo kutoka kwenye kampuni ya bima baada ya kumpoteza ndugu kwenye ajali

    UTANGULIZI Tumekuwa tukishuhudia ajali nyingi nchini Tanzania zinazokea mara kwa mara ambapo kupitia ajali hizo wapendwa wetu huweza kupoteza maisha, wengine huweza kupata vilema vya kudumu. Jambo la kusikitisha wengi wetu hatuna elimu au uelewa wa kisheria kuhusu hatua zipi zichukuliwe na...
  10. Mwesiga frolian

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ipo siku wazazi wangu watanyanyua vichwa vyao na kutizama mbingu kwa furaha watasema "ahsante sana Mungu kwa kutupatia mtoto huyu"

    UTANGULIZI Andiko hili ni maalum kwa vijana wote wapambanaji wenye ndoto ya kurejesha, amani, furaha ya familia iliyopotea, dhiaka, dharau na kulipa madeni wazazi wetu waliyokopa pindi wanatuhangaikia. Ungana nami kwa kusoma nilichokiandika ukivutiwa nacho naomba usapoti andiko hili kwa...
  11. Mwesiga frolian

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tumpe maua yake Rais Samia

    Onyesha upendo kwa kunipigia kura 🙌
  12. Mwesiga frolian

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tumpe maua yake Rais Samia

    TUMPE MAUA YAKE MHE. SAMIA ( picha kwa hisani ya Ikulu.go.tz) UTANGULIZI Andiko hili limelenga kumpa maua yake mhe. Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wake jadidi wa nchi yetu ya Tanzania. Naomba kuchukua fursa hiii kumpongeza kwa dhati mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kumpa maua yake kwa kuiongoza...
  13. Mwesiga frolian

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mwarobaini Mmomonyoko wa Maadili

    Thanks 🙏 your vote ☺️
  14. Mwesiga frolian

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mwarobaini Mmomonyoko wa Maadili

    UTANGULIZI Mmomonyoko wa maadili ni kutozingatiwa kwa utaratibu wa maisha unaokubalika katika taifa ambalo limejiwekea na madhara yake ni makubwa kwa jamii na hivyo kuathiri kuongezeka kwa vitendo vya ushoga, uasherati na uzinzi, wizi, ulevi, uvutaji bangi na matumizi ya dawa za kulevya ambavyo...
Back
Top Bottom