Tunaapenda kukanusha ujinga na ujinga aliopost tahila wetu wa vwawa sinsala mdude chadomo kuwa kuna wanachma wetu wa ACT mbozi wamejiunga chadema habari hizi ni uzushi na uongo chama chetu hakina mataila wanao weza kujiunga chama cha wajinga kama hicho na hakuna mwanachama ambae amewahi kugombea...
Kwa habari zilizovuja ni kuwa wanachama 20 waliokuwa maarufu CDM jimbo la mbozi mashariki wameamua kujiunga na chama cha ACT-Wazalendo.
Kwa habari zilizothibitishwa na mmoja kati ya viongozi wa chama hicho alidai kuwa katibu wa chama hicho wilayani mbozi mh. Rahim Nzunda ndie aliewapokea...
Kambona ni muhunii na ni kweli aendani na kile chama huku cuf alikuwa ni mfua bendera za chama na katibu wake Rahim Mohamed yule kijana aliekuwa bongo star search ndio kiukweli tumekuwa tukiomuona yupo busy kuzinadi sera za chama!! Na mara nyingi amekuwa akijitahidi kumfichia siri huyo...
Ni baada ya kuonyesha kuwa wao ndio walihusika kumtia adabu mwenyekiti wao bwana China na kumpa adabu ya kutosha kabisa!! Hivyo basi jeshi la polisi limewatia mbaroni wahusika hawa viongozi wa na cha kuchekesha redbriguad waliokula mkong'oto wametelekezwa bila msaada wa matibanu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.