Recent content by mwenyewe joseph

  1. mwenyewe joseph

    JamiiForums Tanzania Chuo gani Tanzania kinachotoa walimu wazuri kitaaluma?

    MPWAPWA TTC DODOMA
  2. mwenyewe joseph

    JamiiForums Tanzania Je naweza kuunganisha vyeti viwili nikasoma pharmacy au MD

    Heloww guys Nmesoma CBE advance nkatoka na one je ninaweza nkafanya mtihani wa physics advance nkaunganisha hivo vyet viwil nkaenda kusoma afya msaaada please!!!!!!!!!!!
  3. mwenyewe joseph

    JamiiForums Tanzania Pharmacy & food nutrition, ipi ni zaidi kati hizi??????

    Jaman wadau kati ya course ya PHARMACY & FOOD NUTRITION AND DIETIES ipi bora zaidi kimaslahi na ukisoma food nutrition ajira zake zinakuwaje i mean utaajiriwa wapi ???
  4. mwenyewe joseph

    JamiiForums Tanzania Ahsante mungu nimepata mkopo wa HESLB batch2

    Yaaan nazungmzia namna ya kulogin kwenye profile
  5. mwenyewe joseph

    JamiiForums Tanzania HESLB waachia majina 11,481 ya wanafunzi waliopata mkopo awamu ya pili 2017/18

    Kwenye profile unaingiaje wadau tumen link sasa
  6. mwenyewe joseph

    JamiiForums Tanzania HESLB waachia majina 11,481 ya wanafunzi waliopata mkopo awamu ya pili 2017/18

    Vp ukitaka kuangalia kwenye profile kama wamekupa aslimia ngap
  7. mwenyewe joseph

    JamiiForums Tanzania Ahsante mungu nimepata mkopo wa HESLB batch2

    Np ukitaka kuangalia wamekupa aslimia ngap unafanyeje maaana naona kama inazingua webu yao
  8. mwenyewe joseph

    JamiiForums Tanzania Educational technology UDOM inahusiana na nini?

    Kwan wametoa majna au huyo nkwa dploma
  9. mwenyewe joseph

    JamiiForums Tanzania Unalipi la kumshauri huyu kijana?

    Ila kama anataka co bas hata hivo anaweza pata kwa dploma
  10. mwenyewe joseph

    JamiiForums Tanzania Unalipi la kumshauri huyu kijana?

    Sifa anazo za kupiga bacherol ya pharmacy ama nursing
  11. mwenyewe joseph

    JamiiForums Tanzania Chuo gani cha private kinachotoa course ya pharmaceutical science?

    Ukiweka na michango mingne inakuwa ngapi jumla
  12. mwenyewe joseph

    JamiiForums Tanzania Naweza kuapply diploma katika fani ya afya kwenye kipengele cha upgrading?

    Kweli man nacte wazinguzi tu kwanza saiv watu afya nkama wameambiwa nn sjui kila mtu anataka afya sasa ukisubiri nacte watakuuuwa mm nimesubiri toka 2014 nmeamya mwaka huu niende st josep wamenchagua
  13. mwenyewe joseph

    JamiiForums Tanzania St.Joseph college of health science(boko campus) tujuzane mambo mbalimbali

    Du kumbe bp kuhusu taaluma yake maaana ndo cha msing
  14. mwenyewe joseph

    JamiiForums Tanzania St.Joseph college of health science(boko campus) tujuzane mambo mbalimbali

    Jaman msaada anayejua mazingira ya st joseph boko dsm anipe mwanga kuhusu ada pia anieleweshe Then je kuna 1. hostel 2.hospital ya mazoez
  15. mwenyewe joseph

    JamiiForums Tanzania NACTE rekebisheni mfumo wenu wanafunzi tuweze kuomba vyuo

    Wamekupigia nacte ama vp
Back
Top Bottom