Maelezo yako umechinganya kwa kujua au makusudi.
Kwa kuwa naamini unajua tofauti ya mamlaka na madaraka ya Balozi (Mwakilishi wa Rais kimataifa), Waziri (mwakilishi wa Rais kwenye sekta nchini) na Mbunge (mwakilishi wa wanajimbo moja)
Eleza nikuelewe unapodai "kinacho mpa shida zaidi Pole pole ni kuwa nje ya mfumo na si msukumo wa kizalendo" wakati yeye mwenyewe alijiuzuru nafasi ya Ubalozi yenye heshima na manufaa binafsi kibao?
Uko sahihi. Kama ni kweli viongozi wa CHADEMA hawatatofuatiana na wa CCM aakifungia kanisa la Gwajima na kuwanyima haki ya waumini wake kuabudu kinyuma na Katiba ya Nchi
Kimsingi, yaelekea viongozi wengi wa siasa wameanza kulevywa na "political power"
Kama ni kwe
Nawaza tu kwa sauti, hivi hizo bilioni zilizokusanywa na CCM, wakati wa harambee, zitatumikaje katika miezi 2 ya kampeni (zaidi ya 1b kila siku) ili hali ya huduma za jamii nyingi zinahitaji fedha kuboreshwa. Najiuliza hivyo kwa kuwa Serikali iliyoko madarakani ni ya CCM.
Na isitoshe, ushindi...
Fikra potofu haswa.
Kama kuna Uchaguzi Mkuu ambao CCM inashiriki huku ikiwa na pancha nyingi kwenye uongozi, ngazi zote, ni wa mwaka huu.
Kitendo cha kumwengua January na Mpina kujiunga na upinzani kama mgombea Urais ni keti ya ushindi kwa vyama vya upinzani.
Iwapo vyama vya upinzani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.