Recent content by mwenegoha

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kumchafua Januari Makamba: Onyo la Mzee Makamba kwa Edward Lowassa

    Nimetoka kusikia mazungumzo ya Mzee Yusuf Makamba na Mzee Mwenda wa Dar es Salaam wakati Mzee Makamba akiwa Lushoto na alipoambiwa na mtu wake wa ndani ya kambi ya Lowasa Bwana Matson Chizi kwamba Lowasa ameidhinisha mpango maalum wa kumchafua Januari Makamba mpango unaoratibiwa na Huseni Bashe...
  2. M

    JamiiForums Tanzania January Makamba Umetuangusha Kuhusu Ufisadi Escrow !

    Kambi ya Lowassa inaanza kubabaika na kuhangaika na Januari Makamba. Wote tunajua kwamba kwenye vikao vyao huyu pekee ndiye wanayemtaja kwamba ni tishio na sasa wameanza kuja na hii ya kitoto ya kumhusisha na ulaji wa IPTL. Hii nayo itabuma. Tatizo la watu wa Lowasa hawafikirii kwa kina. Katika...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Urais 2015: January Makamba moto wa kuotea mbali

    duh. uchafu tena?.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Urais 2015: January Makamba moto wa kuotea mbali

    Unaweza kulinganisha UHUNI Wa JANUARY MAKAMBA na ule Wa MBOWE MZEE WA BILICANAZ?.. AU WA LOWASSA MFIRISI NCHI?.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Toa Maoni: Uchaguzi wa Viongozi wa Kitaifa ni September 2014. Nani unataka atuongoze?

    Zitto anakuwasha sana eeee?.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Toa Maoni: Uchaguzi wa Viongozi wa Kitaifa ni September 2014. Nani unataka atuongoze?

    chadema haijawahi kufanya uchaguzi. Hufanya uteuzi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Urais 2015: January Makamba moto wa kuotea mbali

    Ahsante sana kwa kueleweka vema. Nasema Tena umeeleweka Sawa Sawa.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Urais 2015: January Makamba moto wa kuotea mbali

    Unataka kusema nini hasa nawe?...Nani aliyelifanyia mema Taifa unayemjua hebu tutajie hapa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Urais 2015: January Makamba moto wa kuotea mbali

    Nini unataka kusema?. Mbona una hang hang tu hapa?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Urais 2015: January Makamba moto wa kuotea mbali

    Hovyo kabisa. Super pointless
  11. M

    JamiiForums Tanzania Urais 2015: January Makamba moto wa kuotea mbali

    Amesema atatoa vision yake siku si nyingi kutoka sasa. Tumsubiri tuone.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto nne za Edward Lowassa kwenda Ikulu 2015

    Sawa Sawa mkuu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Urais 2015: January Makamba moto wa kuotea mbali

    Mbona wabaguzi nyie?... Mnataka kina Nani sasa walete mada?... Hata JF kuna vijana, waacheni vijana wafanye yao.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Urais 2015: January Makamba moto wa kuotea mbali

    Hongera zake sana Rais Wa watu wote. Kijana asiyependa makuu. Hata Mwanza nasikia Habari ndio yeye
  15. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto nne za Edward Lowassa kwenda Ikulu 2015

    ''Mungu akitaka linakuwa hata kama watu wote hawataki'' - JK AKIMBARIKI JANUARY MAKAMBA
Back
Top Bottom