Recent content by mwenebhukabho

  1. mwenebhukabho

    Je, baharia ni nani?

    [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji31]
  2. mwenebhukabho

    Je, baharia ni nani?

    Wadau nimekua nikiuliza maswali kwa watu mbali mbali juu ya ubaharia.sijui ni kazi ya namna gani,wana majukumu gani,wanasomea wapi na pia wanalipwa nini!?wajuzi wa mambo tujuzane maana kila mtu anajiita baharia ili aonekane mjanja. Naomba tuelekezane.
  3. mwenebhukabho

    Hata sijui binti huyu kakwamia wapi

    Kwa uking'ang'a kwel mie king'ang'a!!...ila ss picha linaanza tu mambo yanakua hivi pengine hata nna mkosi bandugu!!au kawaza nini loooh!!...
  4. mwenebhukabho

    Hata sijui binti huyu kakwamia wapi

    Dah!!kwamtoro huyu binti mwenzio nkimuwaza roho inanilipuka!!..sema ndo changamoto
  5. mwenebhukabho

    Hata sijui binti huyu kakwamia wapi

    Dah!.shukran BigBro n Llio 002!!
  6. mwenebhukabho

    Hata sijui binti huyu kakwamia wapi

    Siku za hivi karibuni nmekutana na binti mmoja niseme ukweli nilimpenda, nilijitambulisha kwake japo alinijua kama rafiki wa rafiki yake. Alikuwa kabanwa kidogo na mambo yake, nikampa kama wiki hivi kabla ya kupanga kukutana nae ili nimwambie ya moyoni. Tumekua tukiwasiliana kawaida tu. Kuna...
Back
Top Bottom