Recent content by mwene1972

  1. M

    Arusha: Mahakama yaahirisha uamuzi wa rufaa ya dhamana ya Mbunge Lema hadi tarehe 20 Dec

    Nafikiri kwa kuwa Lema alitaja mtu kwa kutaja nafasi yake ya ukuu wa nchi na Lusekelo aliongea maneno ya jumla hata kama sikumsikia ila kutokana na kile kilichoandikwa na magazeti alisema waandishi waliyomuandika vibaya watakufa. Sasa nani ameandika vibaya na nani amendika vizuri ni vigumu...
  2. M

    Waraka wangu kwa viongozi wa dini kuhusu ulevi wa Mzee wa Upako!

    Mwamakula mbona unaonekana una chuki binafsi na Mchungaji Lusekelo? Inaonekana ulianza zamani kumfuatilia. Na wengi mnaomchikia ni kwa sababu hana mazoea na watu. Wengi huwa nawasikia wakisema nilienda Kumuona ili kuomba bati hakujitokeza nilienda kuomba kodi ya Nyumba ada ya wstoto wakikosa...
  3. M

    Rais kakataza vyeo viwili ndani ya chama, Je yeye ana vingapi?

    Sifa ya juu ya kugombea uenyekiti wa TAIFA ccm ni lazima uwe na Rais wa nchi.
  4. M

    Mchungaji Anthony Lusekelo 'Mzee wa Upako' awaombea kifo waandishi wa habari

    Kutoa mawazo ni haki yangu popote katika jukwaa huru huwezi ukaniambia niende kwingine wakati najisikia kuchangia kilichopo kwa sasa.wewe pia ni haki yako kutoa mawazo yako lakini siyo kuniuliza eti kwa nini niko hapa.
  5. M

    Mchungaji Anthony Lusekelo 'Mzee wa Upako' awaombea kifo waandishi wa habari

    Okay. Hilo la mtu kuamini au kuwa nabii mimi hilinisumbui.kwa sababu maandiko yanasema kila mtu atatoa hesabu yake. Lakini pia hawa waumini ukiona mwaka miaka anaenda sehemu moja maana yake kwake anadaidika. Ninachozungumzia ni kwamba Waandishi walifanya kazi yao ya awali kwa nguvu kubwa na...
  6. M

    Mchungaji Anthony Lusekelo 'Mzee wa Upako' awaombea kifo waandishi wa habari

    Salaam. Mimi nashauri waandishi wangejikita kwenye utafiti wa mambo yatakayochochea maendeleo kuliko kila jumapili kushinda kwenye kanisa la watu wa kundi fulani na magazeti kujaa habari za mtu mmoja ambazo hata baada kusisoma hazimsogezi wala kumtoa mtanzani kwenye umasikini kukosa dawa kwa...
  7. M

    Waraka wangu kwa viongozi wa dini kuhusu ulevi wa Mzee wa Upako!

    Mwamakula unapotosha aliyekupa hiyo historia ana jambo lake
  8. M

    Waraka wangu kwa viongozi wa dini kuhusu ulevi wa Mzee wa Upako!

    Mwamakula historia uliyoandika hapa kuhusu Mchungaji Anthony Lusekelo ni ya kupotosha ukweli. 1. Si kweli kuwa Mchungaji Lusekelo alikuwa house boy wa Ask Mwasota. Kama ingekuwa hivyo angeaminiwa vipi kuwa Mchungaji wa tawi la kanisa pale kibangu? Ukweli ni kwamba kweli wakati anakuja Dar es...
Back
Top Bottom