Recent content by mwendokas

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rim used za Landlover Puma

    Nahijitaji nipate Rim tano za landlover Puma used. Ila ziwe ktk hali nzuri Bei Maelewano Nipo Dsm. 0673728756
  2. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Land Lover Defender inauzwa

    🤣🤣🤣🤣 ni 16 M bro
  3. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Land Lover Defender inauzwa

    Cc 3000 Diesel Bei 16,000 Ipo Dsm Temeke Mawasiliano 0673728756 Weka Mafuta
  4. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Land Lover Defender inauzwa

    Cc 3000 Diesel Bei 16,000,000 Ipo Dsm Temeke Mawasiliano 0673728756 Weka Mafuta
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mishahara hutusaidia kufanya ndoto zetu kuwa kweli!!!

    Ungekuwa karibu yangu sasa hivi ungekuwa umechakaa kwa vinywaji
  6. M

    JamiiForums Tanzania Biashara gani yenye kuingiza faida ya milioni 100 mpaka 500/mwezi/wiki/siku?

    Heshima yako bro mm ni mmoja wao wa waliokuelewa vizuri
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya kilimo cha mahindi

    Palilia haraka na weka mbolea ikiwepo ya SA ndani ya siku 7 utaona mafanikio.Ila usipopalilia utapoteza fedha yako
  8. M

    JamiiForums Tanzania Boma linauzwa

    Mawasiliano.0786998609
  9. M

    JamiiForums Tanzania Boma linauzwa

    Lipo Mkoa wa Pwani, Wilaya, Mkuranga. Kata, Vikindu Kijiji, Kisemvule. Kitongoji, Mpera. Nyumba lilikuwa hasa kwaajiri ya makazi mana lina appartment 2, .….....ukubwa wa eneo mita 40 kwa 40. Bei, inaanzia Million 45......ila inawezekana vilevile ku-shift kutoka makazi to Dispensary or...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tulioingia kwenye kilimo tukaangukia pua tukutane hapa

    Huu uzi hauna future nzuri kwa vijana hasa kwenye tasnia ya kilimo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

    Upo sahihi mkuu watu wengi tuliopo mitandaoni ni wale tunaolima kwa simu tukiwa club mjini hivo hatuwez ona mafanikio zaid ya hasara.Nenda mashamban kuna watu wanafanya vilimo vikubwa na wana mafanikio makubwa ila huku kwenye mtandao hautawaona ww endelea kusubiri ushuhuda JF.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ndege aina ya Boeing 787 Dremliner zadaiwa zina matatizo ya kiufundi hasa ya hewa. Zikipata matatizo abiria wako shakani

    Sawa tumekuelewa kapumzike sasa nawe umejitahidi kuleta mada jf
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada detailed kilimo cha alizeti

    Nashukuru nililima na mahindi yakanifuta machoz ila hizo Alzet bora ubuni zao lingine bro.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada detailed kilimo cha alizeti

    Sema kweli mimi sishauri sana hasa mtu wa mikoa ya kusini kwenye mvua nyingi kulima hilo zao nikujitia hasara tu mm mwenyewe nimepata hasara zaid ya mil 2
Back
Top Bottom