Inaonekana hili bomba la EACOP mwisho yake ni Mombasa....Tanga tu ni kupitia ikienda Mombasa kwa sababu hii kiwanda ya Dangote ikijengwa mombasa, mafuta yote itasafishiwa Mombasa
Kujengwa kwa refinery Mombasa hainamaanishi mafuta lazima itoke Uganda bali itanunuliwa kutoka soko ya dunia mahali bei iko chini. Mafuta ya Uganda kusafirishwa kw bomba la EACOP hadi Tanga itagharimu $12 kwa pipa na kutoka ughaibuni hadi mombasa ni $2. Tayari kuna shida kwa bei
Dangote ni mfanyi biashara hajishukuliki na siasa...amejenga refinery kwao na ameona faida kubwa sana katokana na huo refinery. Amefanya hesabu zake na ameona kunafaidi kubwa akijenga afrika mashariki
Uganda ingenufaika zaidi kama ingefikiria kusafisha mafuta yake na kuuza katika soko la jumuhiya ya Afrika mashariki badala ya kungangana na kazi kubwa ya kujenga bomba. Kupata wekezaji ambao wako na hela katika ujenzi wa bomba ni vigumu mno. Dunia wakati huu inaelekea nishati mbadala. Matarajio...
It “urges TotalEnergies to take one year before launching the project to study the feasibility of an alternative route” for the crude oil pipeline..... what could this really mean? Is it through Lokichar-Lamu, i really don't know....
Uganda should resell shares to EAC and use the money to build a refinery. This is the only way out. There is already a huge and ready market for Uganda oil here. Secondly, Uganda could have gotten financiers if it had built through dry wilderness of northern Kenya ...
Total energies will not go against this ruling as they are bound by the decisions of EU Parliament. Its only CNOOC who will not be affected but again they are minority shareholders. Therefore the only hope remaining is to look for investors to set up refinery in Uganda and sell the fuel to the...
Uganda condemns EU opposition to oil project
Patricia Oyella
BBC News, Kampala
ReutersCopyright: Reuters
A pipeline to transport crude oil from Uganda's oil fields through Tanzania is under constructionImage caption: A pipeline to transport crude oil from Uganda's oil fields through Tanzania is...
The article is fake. Its written by a Tanzanian trying to stir up hate. Two anomalies here, Malaitu is not a Kenyan name, secondly, articles are not dated by country, but by city
Uganda was better off mobilizing EAC to contribute in the development of oil refinery than now getting stuck with a pipeline whose financers nobody knows and construction costs keep on escalating. Uganda should drop this expensive pipeline and focus on oil refinery, there is a huge market in EAC
Exploration firm Shanta Gold says it has found more high-grade gold at its western Kenya project, estimated to be worth Sh365 billion.
The firm says in its latest market update that it has established high-grade gold deposits estimated at 1.6 million ounces in Kakamega County, with a current...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.