Recent content by MwendaOmo

  1. M

    JamiiForums Tanzania SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Israel tayari wako na air superiority. Ni vigumu sana hata makombora yatoke Iran. Tayari iran washaanza kuitisha mazungumzo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Usaidizi Kujua Neno "solid" kwa kiswahili

    Kemia: "Everything—whether solid or gas; anything you can name—is built from tiny particles called atoms."
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Usaidizi Kujua Neno "solid" kwa kiswahili

    Nimetafuta kote mtandaoni sijapata.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Usaidizi Kujua Neno "solid" kwa kiswahili

    "Solid" ni nini kwa kiingereza?
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Imeenda! Imeenda! Hiyo Imeenda! (Naomba Tafsiri Ya Salamu Hizi)

    Kuna chemistry kati ya watu hawa wawili?
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto: Tutatoa bajeti kubwa kwa Mahakama ili isimamie Demokrasia, Uhuru na Haki

    Kuna vitu vingine vinafanywa na executive orders na si lazima tena urudi bungeni.
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya Kuapa naanza kumuona Rais Ruto kama ni Mtu mwenye Papara, Kukomoa, Unafiki na Visasi Moyoni

    System ilikuwa wapi alipokuwa akichaguliwa kuwa Rais? Tatizo ni wabongo kufikiri tuko kama nyie. Kuna kinyozi wangu wa kutoka bongo alishinda akiniambia jinsi Raila lazima awe Rais eti "Usicheze na serikali." Yeye amekuwa Makamu wa Rais miaka kumi. Hakuna asichokijua kuhusu hiyo "System."...
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Kenya ni Nchi ya Dini ya Kikristo?

    Hiyo ni Filosofia yake na tulimchagua kwasababu ya filosofia yake. Wengi wape. Wewe na usomi wako wa pesa nane ngoja umchague kiongozi wako wa usomi wa pesa nane. Si demokrasia hiyo?
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Kenya ni Nchi ya Dini ya Kikristo?

    Scientific reasoning ni ya wewe na watu wenyu.
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Kenya ni Nchi ya Dini ya Kikristo?

    Choir ilkuwa ya kutumbuiza watu. Ikiwa ujumbe wa choir haukukufurahisha, sio lazima ukufurahishe. Hata Diamond angekuja, bado kuna watu hawangefurahishwa na huo ujumbe. Hata maroon comandos wangeimba Charonyi Ni Wasi, kuna wale ambao bado wangekwazika kwa kuwa wimbo huo ni wa "kikabila." huwezi...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Kenya ni Nchi ya Dini ya Kikristo?

    Nchi kuegemea kwa dini moja ndio kusema nini? Rais Ruto ana Uhuru wa kuabudu na kushuhudia imani yake. Hakuna mwislamu aliyekatazwa kuabudu jinsi anavyopenda. Hakuna anayelazimishwa kujificha kula wakati wakristo wanfunga. Hakuna anayechomwa na moto kwasababu ya imani yake, tatizo liko wapi?
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni ipi Lugha ya Taifa la Kenya? Kiingereza au Kiswahili?

    Kwasababu Katiba imeandikwa kwa Kiingereza na Kiapo chenyewe kiko kwenye katiba. Ningekuwa Rais, hili ni jambo la kwanza ambalo ningebadilisha
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Kenya ni Nchi ya Dini ya Kikristo?

    Ungekuwa Kenya ungeelewa kwanini walimtaja Mungu Kila wakati na kwanini Naibu wa Rais alikuwa na machungu. Uhuru Kenyatta alifanya mambo ya Kishetani sana hata kuingilia IEBC na Karibu kuleta umwagaji damu. Naibu Wa Rais amekuwa mpole sana. Uhuru ni mtu ovyo sana. Angefaa achapwe mijeledi kwa...
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Kenya ni Nchi ya Dini ya Kikristo?

  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni ipi Lugha ya Taifa la Kenya? Kiingereza au Kiswahili?

    Kikatiba, Kiswahili ni First Official Language na tena ni National Language. Kiingereza ni Second Official Language
Back
Top Bottom