<br />
<br />
hivi ccm na wana magamba wote wanafikiri kweli wataiharibu chadema kwa vituko?hayo magazeti ya habari leo na uhuru nafikiri pia wahandish wake wote walifeli masomo hata wanavoandka ni dhahili kabisa no profession ethics.
Hao udom acha wakome,na wale walimu wa ng"ong"ona wenye matatizo lukuki vp?naskia rais wao RUTA a.k.a nshomile alikataa wao kuwaunga mkono wenzao.nyie walimu gomeni ili maji yaje,miundo mbinu,nk,tatizo la pale Uongozi wa Ruta wote vibaraka wa CCM ndo maana baada ya kuzindua chuo aliwaita akina...
Waaah.hilo ndo tulitaka kusikia maana siku zote ccm udom ingawa wapo kiduchu wanajigamba.Kwa taarifa yenu nyie wenye mawazo eti udom wote ccm polen sana na mtambue udom km chuo kikuu chadema au upinzani ndo wengi ila ccm kama ada yao wanajipendekeza kwa jina la chuo.kama ccm hawaamin hilo...
Unaonekana huna la kuchangia.Kama elimu ni uongozi basi mafisadi wasingekuwepo maana wale wote wana division one tena wamesoma vyuo vizuri.Please,no research,no data then no right to speak.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.