Recent content by mwelemimmongo

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

    Pole
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Mbarawa azungumza kuhusu uwekezaji wa Bandari

    Wao wawachukue wataalamu wakahudumu huko bandalini wakiwa chini ya jeshi Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Mbarawa azungumza kuhusu uwekezaji wa Bandari

    Mimi nafikiri wageweka mdaharo wa wanaopinga na waunga mkono hoja uwe live Ili watufumbue macho wote,Mimi mpaka saizi wanaopinga wameshinda na wamenishawishi zaidi Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Mbarawa azungumza kuhusu uwekezaji wa Bandari

    Jamani ni mejitahidi kusogea karibu na tv lakini sijaelewa huko uliopelekwa bugeni ulikuwa mkataba au makubaliano? Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Mbarawa azungumza kuhusu uwekezaji wa Bandari

    Hamza anahema sana daa pesa ni balaa tupu Mimi naona Bora jeshi lihamie pale Kwa ajili ya kuopalete shughuli zote bandalini kama shida ni uaminifu jeshi likafanye KAZI hapo Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Mbarawa azungumza kuhusu uwekezaji wa Bandari

    Mbona huyu jamaa anahema sana Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wapinzani pelekeni hoja nzito kwa wananchi, sio blaa blaa za Bandari

    Watz tunapenda kulaumu badala ya kuhusika Moja Kwa Moja,Sasa unamtuma Nani Fanya wewe sehemu Yako na wewe Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mrithi wa Samia ana kazi nzito kurudisha uchumi wa Tanzania kwenye Mstari

    Njoo bariadi mjini ushuudie kamatakamata ya pikipiki zenye plate namba nyeuupe TRA ni balaa sana.boda boda hawana hamu,siku ya mbina (Ngoma)waliwakamata kinoma Tena Kwa kuviziwa ,yaani unaviziwa unaenda kupata huduma ktk ofisi zilizo jirani wanakudaka, Sasa Cha ajabu pesa zikienda huko...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wimbi la walimu kuhama CWT Tanzania limeshika kasi

    Kimeumana Sasa Cwt wao wakate 4000 tu Ili kuwaamini tena Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi ya 2023 imepooza! Shida nini?

    Yani ACHA tu mie nimejiandaa kwenda kazini mwanangy amenikumbusha Leo ni siku yangu mpaka nikaona aibu nikaishia kumpa Hela ya dagaa anunue tukaange maana nyanya Sina,mafuta Sina ila chumvindo kunajirani kanihakishia atanipa nisiwe na wasiwasi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Sent from my...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kero za Wafanyakazi ambazo TUCTA wataziwasilisha mbele ya Rais Samia siku ya Mei Mosi 2023

    Pointi unayo usikilizwe ila wafanyazi wa serikali mjiongeze jamani mitaji mnayo ya kutosha,fanyeni shughuli za ziada jamani hata biashara ,mkitegemea serikali mtazidi kufamaskini, serikali Haina Nia njema na nyinyi ila ni kukukamua mpaka utamu wako uishe Kisha kukutupa huko na 33% Tena ya pesa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwako IGP: Mkoa wa Geita mauaji ni mengi, kaimu RPC anaripoti matukio ya mauaji, RPC wa mkoa wa Geita yuko wapi?

    Geita wa badilike kama unaishi na mtu anayekutishia maisha karipoti polisi hata kama ni mme au mke au rafiki wa karibu Ili kukomesha mauaji, kingine geita imejaa wahamiaji wa mikoa mingine hasa waliokimbia makwao Kwa makosa mbalimbali waliyoyatenda katika jamii zao hivyo geita wanajificha Kwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Serikali boresheni mishahara ya Walimu wa nchi hii

    ACHA mwl avune alichopanda,wakati wa uchaguzi wanakisaidia Chama Cha kijani kushinda Kwa kuwaibia kura,mimi hata asipolipwa sawa tu maana anatumikia Chama chake [emoji1][emoji1][emoji1] Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
  14. M

    JamiiForums Tanzania Sisi Wananchi halali wa Tanzania, tunatuma Ujumbe na Maombi yetu kwako Rais Samia

    Kweli,Rais fanyia kazi riport hiyo ya mkaguzi vilevile fuatilia na capitation mashuleni,watu wanakula tu Hanna kinachofayika huku mashuleni yani stupid kabisa Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hata kama Mbowe akiwa Mwenyekiti na Lissu Mkurugenzi wa NEC Mnyika awe IGP bado CHADEMA ya sasa haishindi uchaguzi

    Sasa unategemea wenzio wakupiganie wewe huku wewe mwenyewe hujipiganii?
Back
Top Bottom