Recent content by Mwehu Mweusi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta vitabu vya James Hadley chase

    Unajua nimewahi fanya downloading lakini kiukweli mimi ni wale watu ambao tunaona raha tunapogeuza karatasi zaidi ya kuscroll kwa mouse, halaf ntakuwa natumia maeneo ya mbali na electronics kwa hiyo hard copy ni nzuri zaidi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta vitabu vya James Hadley chase

    Najua kwamba fiction crime za James Hadley Chase zimesomwa na watu wengi sana na kwa mimi ni vitabu pekee ambavyo viliweza kuweka picha ya action kama a movie kwa kupitia maneno tu, nimesoma vitabu vyake vitatu na sasa nimegundua kwamba kabla hajafa ameandika vitabu zaidi ya 80(sina uhakika...
  3. M

    JamiiForums Tanzania 500GB SATA HDD kwa 80000 + 2GB RAM FREE

    Desktop yangu ilikufa motherboard nikaamua ninunue PC mpya, nimebaki na vifaa vya ndani so kama unataka kuzipa kazi tena HDD na RAM ya 2GB(Micron MT8JTF25664AZ-1G6M1 1Rx8 PC3-12800U) nishtue 0765478513(sio whatsapp) halafu ntakusogezea mwenyewe popote ulipo (ndani ya DAR) any time detail zake...
Back
Top Bottom