500GB SATA HDD kwa 80000 + 2GB RAM FREE

500GB SATA HDD kwa 80000 + 2GB RAM FREE

Mwehu Mweusi

Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
5
Reaction score
0
Desktop yangu ilikufa motherboard nikaamua ninunue PC mpya, nimebaki na vifaa vya ndani so kama unataka kuzipa kazi tena HDD na RAM ya 2GB(Micron MT8JTF25664AZ-1G6M1 1Rx8 PC3-12800U) nishtue 0765478513(sio whatsapp) halafu ntakusogezea mwenyewe popote ulipo (ndani ya DAR) any time

detail zake kwa wataalamu(nerds) ▶▶▶

  • 7200 RPM 16MB Cache
  • SATA 6.0Gb/s
  • zaidi ya hapo unahitaji nini kwenye computer ya kawaida
Of course Picha ya HDD yenyewe(camera iko mbali kwa hiyo picha mbaya): ▶▶▶

IMG_20161109_144634.jpg

siku njema wanaintaneti
 
Back
Top Bottom